Washamjua Sizonje ukitaka madaraka ktk nchi yake jitoe akili....Jerry muro keshapata darasa kutoka kwa bashite....mnachoniudhi kumletea Uzi humu mnampa kiki ni wakupotezea tu...Huyu Jerry Muro naona thinking capacity yake inashuka kwa kasi and he is now a great sinker from a great thinker.... waliohusika kwa ushahidi huu tusubiri kuona
Anafikiri kiki itampa shavuNJAA ...NJAA... NJAA... unemployment , ila leo kasahau kuweka cv, wahusika washaanza kujitetea huko ye anahangaika huku kutudanganya eti video feki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa kauli zake ni dhahiri anatafuta huruma ya mkuu wa katika utawala wake! Ila kumbuka Jerry Muro kauli kama hizi zilisahi kuwafunga watu jela maisha!hata ukikumbuka mauaji ya kimbari Rwanda baada ya kudhibiti sheria ilichukua mkondo wake na watu wapo jela kwa sababu ndogo yakusema neno "Kanyaga hao mende"
Hivyo kwa watanzania tunamjua Jerry msipoteze muda!Tumbo linamsokota!