Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Mwanasheria aliowaambia tutashtakiwa MIGA jana kapatwa Blood Pressure wameanza kujichanga wamtibu milioni 5 kwa siku
 
unajisifa kupewa 0.2%(less than 1%) ya unachodai halafu unashangilia

japo mazungumzo yanaendelea, huoni kwenye mahesabu tume wamepika? that meam ACACIA wako sawa kwa 99.8% mpaka muda huu

Lissu hakukataa kama tunaibiwa ila alisema tunaibiwa kwenye mikataba ndo kitu kilichofanyiwa kazi

Mimi nampongeza Rais na Lissu inawezekana waliwasiliana hata kwenye simu kuona ni jinsi gani wanaibiwa kwenye mikataba
...
 
Jerry Murro

Jerry Murro learn how to read between the lines as a journalist. I think you rushed too much to write before you could understand what is written in the agreement. Things are not yet conclusive let’s wait to the last resolution then we can celebrate or else it is still too early to celebrate
Mkuu, uliwahi kumwona Jerry Muro aki-host kipindi chochote cha uchambuzi alipofanyakazi kwenye TV?Hajawahi kuwa wala kuaminiwa, yeye anachoweza zaidi ni usomaji tu, uchambuzi anajifunzia humu.

Vv
 
Wafia CHADEMA hawawezi soma huu uzi. Wenye chadema waatausoma.
 
Hakika Muro ni kiboko cheki chadema wanavyo tafutana....wana mtuhumu kuwa mchagga mwenzao kawasaliti.........
 
Framework Agreement

Any proposal agreed require Acacia's Approval ( Body of Director's)
 
Ukiona hivyo labda kashazawadiwa ukuu wa wilaya
Hizi hapa ni baadhi ya heading za "siledi" za Ruttashobolwa akiwa mwanaCHADEMA

1. Kituko kwenye harambaa "Movement 4 change"
2. Je Pinda ni Mzalendo
3. Je, tutegemee Kioo cha Jakaya Kikwete au Wazee wa Jiji?
 
Anaandika Jerry C. Muro

[HASHTAG]#Taifa[/HASHTAG] la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya _Barrick Gold_ kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini *50/50* ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya *Asilimia 16* ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

[HASHTAG]#Nimedadisi[/HASHTAG] katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi *PEKEE* ambayo *IMETHUBUTU* na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo *Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli* katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi *UNAOACHA ALAMA* tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

[HASHTAG]#Muafaka[/HASHTAG] Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "UCHI" tena nasisitiza "*UCHI WA MNYAMA* " wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia MAKINIKIA, kwangu nasema *SHAME ON YOU!!!* najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga *UAMINIFU*, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

[HASHTAG]#Nimefarijika[/HASHTAG] sana na kauli ya Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* ya kuwataka wawekezaji wengine *WOTE* katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "*Donor country*"

[HASHTAG]#Naomba[/HASHTAG] nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa *LIMEWEZEKANA* na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania *RASILIMALI* za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "*ADUI* " yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*Dodoma, Tanzania*
*20/10/2017*
Safi. Sana. Ni andiko bora kabia. Hili. Watanzania tuwe wakali na wazalendo kwa mali za nchi yetu. Mungu mbariki Rais. Wetu. Aendeleze mapambano ya kutukomboa kutoka vita kali ya kiuchumi. Amen
 
Usijichoshe, wapiganaji na silaha zao zote za ACACIA zilikuwa apa. Wanarudi kuwaambia wezi wenzao kwamba mechi imekwisha na wamechezea kichapo Mujarabu. JPM ameshawapa tahadhari yeye anafanyakazi na A CACIA sio wanahisa.
 
Bavicha mmekuwa wapole baada ya Acacia kukubali
Acacia wamekubali wapi wewe Zuzu?

...Unajua mazungumzo yalikuwa kayi ya nani na nani kwanza?
. .Unajua Acacia ni nani na Barick ni nani?

Kamwombe Mpole Mpole akupeleke shule ya Ukatiba....tehe tehe

Vijana wa Lumumba muwe mnapenda kujisomea sio ukijua kuandika ndio basi tena....
 
Anaandika Jerry C. Muro

[HASHTAG]#Taifa[/HASHTAG] la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya _Barrick Gold_ kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini *50/50* ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya *Asilimia 16* ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

[HASHTAG]#Nimedadisi[/HASHTAG] katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi *PEKEE* ambayo *IMETHUBUTU* na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo *Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli* katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi *UNAOACHA ALAMA* tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

[HASHTAG]#Muafaka[/HASHTAG] Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "UCHI" tena nasisitiza "*UCHI WA MNYAMA* " wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia MAKINIKIA, kwangu nasema *SHAME ON YOU!!!* najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga *UAMINIFU*, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

[HASHTAG]#Nimefarijika[/HASHTAG] sana na kauli ya Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* ya kuwataka wawekezaji wengine *WOTE* katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "*Donor country*"

[HASHTAG]#Naomba[/HASHTAG] nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa *LIMEWEZEKANA* na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania *RASILIMALI* za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "*ADUI* " yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*Dodoma, Tanzania*
*20/10/2017*
professorial rubbish analysis
 
Hapo huyu jamaa anadanganya Umma. Barrick hayajakubali kugawa faida 50/50 walichosema ni kua wamekubali serikali kuwa Mbia 50/50.
Maana yake Serikali igharamie gharama za Uchimbaji 50% , mashine, usafirishaji na mengine, hapo ndio watapata hiyo faida ya 50%.
Mwisho wake usije ukajionea ajabu ikiwa faida waliyokuwa wakipewa ya 16% ni kubwa kulikoni hio ya 50% baada ya kutoa gharama
Barrick sio wajinga kiasi hicho munacho dhania
 
Anautafuta ukuu wa Wilaya Kwa nguvu

Ova
hiyo wilaya ya kuwa na mkuu mwenye kichwa cha Jeri si ni balaa,huyo anafaa kazi hiyohiyo aliyonayo ya kushangilia bila hata kujua anachoshangilia.Nayo ni kazi pia na ameimudu vyema.
 
Jerry Muro huwez kuteuliwa kirahisi rahisi mpka uchenjuliwe. Kwanza tu nikuibie siri jamaa hana imani na watu wa kanda ya huko kwa sababu anajua mnaweza kupandikizwa kama mamluki kuja kuvuruga. Shime kwa Ndugu zake Jerry Muro njoeni mumchukue ndugu yenu kabla hajaanza kuokota makopa
 
hiyo wilaya ya kuwa na mkuu mwenye kichwa cha Jeri si ni balaa,huyo anafaa kazi hiyohiyo aliyonayo ya kushangilia bila hata kujua anachoshangilia.Nayo ni kazi pia na ameimudu vyema.
Ndomana yanga walimtimuaga

Ova
 
sidhani, hahahahahhaha. Yaani nilishangaa sana hasa ukimuona Ruttashobolwa kwa sasa alivyokindaki kindaki na Chama cha Mapinduzi, nikasema basi siasa hizi, mmmmmh! bora nikae nilivyo. Ngoja nifukunyue huo uzi kama nitaupata
Yes huyo alikuaga chadema nadhan ndo id ya yule alioukwaa uwazir yule dada yetu July shnza
 
Back
Top Bottom