Jerry Muro kufanya mkutano na waandishi wa habari Leo saa sita kuwajibu CHADEMA

Ongea baba wewe hata watu wasiojulikana leo watakuwa wamelala mtoto wa nyumbani anaongea.Huna haja ya kibali cha polisi.Nafasi zipo nyingi wakurungezi watano tumeambiwa ni walevi,mawaziri wanne viti vyao viko wazi.Qngea ongea kichaa kapata rungu.
 
Nimechoka sana hii kauli ya kusema, KWENYE AWAMU HII YA TANO KILA RAIS AMEINGIA GEREZANI, KUANZIA WA TFF HADI WA TLS, U-RAIS WENYE THAMANI NI WA JPM, huyu jamaa amulikwe vizuri, maana siku zote huwa ana kauli tata
 
Na wewe ujiulize swali rahisi inakuaje raia aitishe mkutano na waandishi kwenda kujibu tuhuma dhidi ya Serikali?
Haendi kujibu tuhuma dhidi ya serikali,soma uelewe,Lema alimsema yeye kama yeye na yeye anaenda kumjibu Lema,serikali imetokea wapi?,tatizo mnatanguliza uchama na hisia zinavyowatuma
 
Tuhuma za press conference ya jana ya CDM ililenga mtu binafsi au Serikali ya CCM?
Tuhuma za jana kuna mahali alitajwa yeye kama Jerry Muro,kwanini uanze kuhisi anaijibia serikali?,yeye ni nani serikali hii?,au unaunganisha maneno ya jf ya urafiki wake na wana CCM ambao hauna proof yoyote?,acheni kuhisi subiri afanye press ndo m coment
 
Hizo pesa za kufanya press anazitoa wapi, anaemtumia tunamjua.
 
Tuhuma za press conference ya jana ya CDM ililenga mtu binafsi au Serikali ya CCM?
Tuhuma za jana kuna mahali alitajwa yeye kama Jerry Muro,kwanini uanze kuhisi anaijibia serikali?,yeye ni nani serikali hii?,au unaunganisha maneno ya jf ya urafiki wake na wana CCM ambao hauna proof yoyote?,acheni kuhisi subiri afanye press ndo m coment.
 
Tatizo kutafuta nafasi na kuishi kwa ujanja ujanja. Pia Rais JPM amekuwa hachambui utasikia tu huyu ng'ombe kapewa cheo just kwa domo lake. Ajulikane tu huyu alikuwa kibaraka hasa wa Manji sasa anataka jipandisha chati. Huyu ni mchumia tumbo tu.
 
Hebu soma vizuri hiyo habari mana vinginevyo utakua na tatizo la uelewa
Umeangalia alichojibu Lema jana kuhusu Muro?,kuna mahali inausika serikali au ccm au ni hisia zenu tu?,kama Muro anatafuta sifa kwa wana ccm au serikali,Je serikali imejihusishaje nae mpaka aitishe conference?,anayofanya Jerry Muro yote ni kama yeye,hata wewe unaruhusiwa kujibizana na Polepole kama atakutamka mbele za waandishi,waweza itisha press kumjibu na usiwe CDM wala CUF,narudia tatizo kila kitu siku hizi kinachukuliwa ki CCM na CDM.
 
Njaa mbaya sana,
anajipekecha apate nafasi.
atakuwa chini ya anaemfanyia upambe kama kuwadi tu basi.
 
HIVI HUYU JAMAA ANA AKILI TIMAMU KWELI AU VP? ANAJIBU KAMA NANI? HUYU JAMAA ANAJIANIKA MNO HALAFU ANA TABIA YA JINSIA YA KIKE. BASHTE ALIKO ANAMCHEKA TU. AMEKUWA MJINGAMJINGA FULANI HV. NAWASHAURI WAANDISH WA HABARI WAMPUUZE HAYUKO SAWA.
 
Press Conference
Mimi Jerry C. Muro Nitafanya Mkutano na Waandishi wa Habari siku ya Jumamosi 07/10/2017 Majira ya saa Sita (12:00 noon ), katika Hotel ya Protea jirani na kanisa la St Pete's Oyerstabay.

AGENDA
Nitajibu tuhuma zilizotolewa Leo Ijumaa 06/10/2017 na Viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambao ni Mhe Godbless Lema - Mbunge Arusha Mjini, Ndugu Benson Kigaila - mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo Chadema.

Nawakaribisha Waandishi wa Habari wote, na wale wa Social Media katika mkutano wangu, Karibuni sana.

Imetolewa na
Jerry C. Muro
Dar es Salaam
06/10/2017
Cjui IQ ya TZ imefka ngap???
 
Back
Top Bottom