Jerry Muro kapigwa ganzi haelewi achukue Fomu Jimbo gani?

Jerry Muro kapigwa ganzi haelewi achukue Fomu Jimbo gani?

Hajui kuongea mpaka leo, unasemaje hata Rais akiwa mjinga tumuheshimu
Yaaani alikosa namna ya kuongea ambayo haileti utatata
Kwani rais ni malaika?, kwani rais hawezi kuwa mjinga?, kwani mtu kuwa mjinga ni kosa?, mjinga ni asiyejua, usidhani rais kwa vile ni rais basi anajua kila kitu!.
Tuache kurembaremba maneno, wako marais wajinga wajinga wamejaa kibao tuu humu duniani!
P
 
Kwani rais ni malaika?, kwani rais hawezi kuwa mjinga?, kwani mtu kuwa mjinga ni kosa?, mjinga ni asiyejua, usidhani rais kwa vile ni rais basi anajua kila kitu!.
Tuache kurembaremba maneno, marais wajinga tuu humu duniani wamejaa kibao!.
P
Kumbe hunaga akili pamoja na utu uzima wako, yaani Rais mwenye watu wa kumpa taarifa zote awe mjinga, Jemedari wetu nembo inayoishi ya uhuru na umeoja wetu?
Halafu nani amesema mjinga ni mtu asiyejua tu? Mjinga ni mtu asiye na capacity ni tusi kubwa
 
Back
Top Bottom