Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

Ni vyema ukawa unachunguza kwa makini unacho kiandika kabla ya kupost.
Wewe mwenyewe umesema uoni vijana bali unaona wazee, hapo hapo unatuuliza sisi umri wa vijana kwa mujibu wakatiba.

Sasa kama hujui umri wa vijana umejuaje hao ni wazee?
Asubuhi njema mkuuu

Hapa mi sioni vijana naona wazee wanajadili mambo ya vijana,kwani umri wa vijana kwa mujibu wa katiba ya CDM ni miaka mingapi?
 
Ni vyema ukawa unachunguza kwa makini unacho kiandika kabla ya kupost.
Wewe mwenyewe umesema uoni vijana bali unaona wazee, hapo hapo unatuuliza sisi umri wa vijana kwa mujibu wakatiba.

Sasa kama hujui umri wa vijana umejuaje hao ni wazee?
Asubuhi njema mkuuu
Imekugusa eee? vipi au na wewe ni mmoja wapo wa wanaochakachua age.

Haya siku akija kuwakosoa CDM kwa chochote atakuwa kilaza maana nyinyi CDM kwa kushangilia upepo hamjambo.

Walikuwa kina Ulimboka,mara mkawaita wasaliti wanafiki,ngoja na Muro tuone mwisho mtamwita nani?
Teh teh teh teh teh , wakati mwingine muwe mnapunguza kusema ukweli, unajua unauma sana.
 
Hata nikikwambia sichakachui au na chakachua yote utaona uongo tu.
Hebu turudi kwenye mada, wewe umesema huoni kijana hapo bali unaona wazee!
Alaf ukauliza swali kuhusu umri wa vijana wakati inaonekana unajua vizuri umri wa wazee!
Whats wrong with u?

Hapo ndipo nilishindwa kuamini kama ulikiona ulicho kiandika ndugu yangu!

Imekugusa eee? vipi au na wewe ni mmoja wapo wa wanaochakachua age.

Hivi kuna aiyejiuliza Jerry Muro angekuwa na mwangosi siku ile ingekuweje?
 
Hiki ndo kile kikao ambacho Heche alivuta mpunga wa maana toka kwa Mbowe ili awahonge wajumbe wamng'oe Makamu wake? Jamaa wa ofisi ndogo ya Lumumba wanasema mpango ulifeli pamoja na kuwa wajumbe walifanikiwa kuvuta mpunga wa Mbowe. Eti Makamu wa bavicha ni mtu wa Zitto. Source: Ofisi yetu ndogo ya Lumumba
 
unapenda sana kujidhalilisha ... stereotype
 
Ebo,huyu Muro lini kaondoka TBC 1? Naomba kujuzwa maana siko informed kabisa hapo.

Pamoja na hayo binafsi napenda CDM wawe makini na kuchukua tahadhari kubwa kwani kuna mamluki na mashushu-type wa CCM. Sote tunajua magamba wako taaban kwa hiyo wanatumia kila mbinu kujaribu kulikimbia kaburi waliloko kwa kupandikizi mashushu wa kila aina.

Ieleweke sisemi Muro ni CCM au shushu, coz sina ushahidi wowote muda huu.
 
Haya siku akija kuwakosoa CDM kwa chochote atakuwa kilaza maana nyinyi CDM kwa kushangilia upepo hamjambo.

Walikuwa kina Ulimboka,mara mkawaita wasaliti wanafiki,ngoja na Muro tuone mwisho mtamwita nani?

Kama Kikwete kwa Mramba!Hatuna uzushi bali tunasimamia ukweli,ushabiki ktk janga la mafisadi tz unakupeleka siko funguka kijana wakati ndo huu.
 
Back
Top Bottom