Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

BAADA ya kupigwa chini/ kutoswa na mkuu wa wilaya na kunyanganywa gari aina ya harrie aliloohogwa naona kahamia chadema duu kweli maisha magumu atatapatapa mpaka ashike hadabu anajifanya kuingilia maisha ya prince,kwa sasa ana maisha magumu kichizi huyo mkuu wa wilaya ndio alikuwa mfadhili wake na ndio alikuwa anatoa ela za kulisha familia yake.....karibu m4c...
 
BAADA ya kupigwa chini/ kutoswa na mkuu wa wilaya na kunyanganywa gari aina ya harrie aliloohogwa naona kahamia chadema duu kweli maisha magumu atatapatapa mpaka ashike hadabu anajifanya kuingilia maisha ya prince,kwa sasa ana maisha magumu kichizi huyo mkuu wa wilaya ndio alikuwa mfadhili wake na ndio alikuwa anatoa ela za kulisha familia yake.....karibu m4c...

acha upimbi wewe tunakaa na Jery muro huku mbezi beach, tunamfahamu jamaa alivyoo na heshima kwa wote na jinsi Mungu anavyompendelea katika maisha yake.
 
acha upimbi wewe tunakaa na Jery muro huku mbezi beach, tunamfahamu jamaa alivyoo na heshima kwa wote na jinsi Mungu anavyompendelea katika maisha yake.

we ndo pimbi kuliko wote, ukitaka kujua wewe ni pimbi wa mapimbi na humjui huyu jamaa ,kwanza hakai mbezi beach anakaa kunduchi ni two differnt places,pili mulize mawasiliano yake na yule DC yako wapi siku hizi, Mkuu huyo wa wilaya ndiyo alimhonga Harrie, mkuu wa wilaya huyo ndo alikuwa anachukuwa ela kwake ya kumtibia mke wake wa ndoa ambaye ni tasa, mkuu wa wilaya huyo ndio alikuwa anatoa ela za matumizi, na isitoshe aliwahi kumuibia mpaka mkuu wa wilaya huyo ndio kisa cha kupigwa chini najua yuko humu ajitokeze kukanusha then nirudi nimwage mambo hadharani... huyu jamaa ni bonge la tapeli, bonge la mwizi.. akijitokeza nitarudi na kumwaga mambo yotee hadharani mpaka jinsi alivyomwibia huyo mkuu wa wilaya.
 
Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa zamani wa TBC, Jerry Muro ( kushoto) akito salamu zake kwa wajumbe wa Kamati ya Utendaji cha Bavicha Taifa iliyoketi Mjini Morogoro kuanzia Septemba 14 hadi 18, mwaka huu.

Kiongozi wa vijana nchini kupitia chama kikuu cha upinzani -CHADEMA John Heche , Septemba 17, 2012 alifungua Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Bavicha kilichohudhuriwa na wajumbe kadhaa kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.

Kikao hicho kilipanga kujadili ajenda mbalimbali za Vijana na baadaye kufikia kutoa tamko la pampoja kuhusiana na masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.

Hata hivyo katika Kikao hicho , Bavicha kupitia Mwenyekiti wake wa Taifa , walimkaribisha Mwandishi wa Habari na Mtangazani wa zamani wa TBC, Jerry Muro ili aweze kuwasalimia wa wajumbe wa Baraza hilo walioanza kukutana tangu Septamba 14 hadi 18, mwaka huu.

Katika salaamu zake , Muro alisema, yenye ni mwanaharakati na mtu anayependa kusema ukweli, hivyo kwake mtu kama huyo ni lazima amuunge mkono kama ilivyo kwa vijana wa Bavicha wanavyosimamia kusema ukweli na kuamua kuwaunga mkono.

Jerry Muro muda wote alikuwa akizungumza kwa hisia kali huku akishangiliwa kwa shangwe kuu na vijana hao wa BAVICHA
Jambazi nchi hii bwana usanii mtupu,
 
aaaa wapi, hao wote wana vyeti vipya vya kuzaliwa halisi vya zamani wamevichoma.kaka hao wote ni toleo la 1962-1970 ni vijeba kwa kwenda mbele.

jamani ban kwa nini ipo yaani ningechomoka na wewe basi tu
 
BAADA ya kupigwa chini/ kutoswa na mkuu wa wilaya na kunyanganywa gari aina ya harrie aliloohogwa naona kahamia chadema duu kweli maisha magumu atatapatapa mpaka ashike hadabu anajifanya kuingilia maisha ya prince,kwa sasa ana maisha magumu kichizi huyo mkuu wa wilaya ndio alikuwa mfadhili wake na ndio alikuwa anatoa ela za kulisha familia yake.....karibu m4c...[/
UPO SUMBAWANGA UNAKAA NYUMA YA LAPTOP HABARI ZA MURO UNAZIPATA WAPI
 
Haya siku akija kuwakosoa CDM kwa chochote atakuwa kilaza maana nyinyi CDM kwa kushangilia upepo hamjambo.

Walikuwa kina Ulimboka,mara mkawaita wasaliti wanafiki,ngoja na Muro tuone mwisho mtamwitawatasema ukikoroga nani?
chadema sio jiwe ukitenda vyema ukikoroga tutakuumbua papo hapo
 
Jery Muro ccm walitaka kukupoteza lkn umeshinda ile kesi kwa uwezo wa Mungu karibu chadema chama makini kwa watu makini.
 
kama huyu shonza tangu juzi mitandaoni analalamika ooh heche amepewa maelekezo na dr slaa anifukuze mbona kikao kilikuwa saafi jamani mdogo wangu shonza anakokupeleka shibuda si kuzuri tulia na chadema usifurahie vikao vya hapa TAMAL hotel kuliko harakati
 
Back
Top Bottom