Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

Huwa anajifanya yuko very smart na mbaya sana mtu kujiona you are very smart halafu kumbe sio hivyo. kwangu ni katika watu ambao hawajielewi kabisa na alipata sifa za kijinga wakati yuko ITV eti kuwapiga picha Traffic tu kupokea rushwa akajiona kama kafanya unique program, sasa nani asiyejuwa Traffic wanapokea rushwa. toka wakati huo he is acting clever lakini ukweli ni katika watu wasiojielewa kabisa na wala hastahili kupata kick.
 
Timu ya wasiojulikana ambao wanajulikana na wataalamu wa telepathy.
 
Yeye ni mtu mstaharabu tuuu katika UVCCM,na mchango wake mkubwa ni mtoa mawazo mazuri ktk chama.
 
Back
Top Bottom