Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

cheo chake ni kama cha akina Yericko, Malisa na makarai wengine ndani ya cdm
 
Huwa anajifanya yuko very smart na mbaya sana mtu kujiona you are very smart halafu kumbe sio hivyo. kwangu ni katika watu ambao hawajielewi kabisa na alipata sifa za kijinga wakati yuko ITV eti kuwapiga picha Traffic tu kupokea rushwa akajiona kama kafanya unique program, sasa nani asiyejuwa Traffic wanapokea rushwa. toka wakati huo he is acting clever lakini ukweli ni katika watu wasiojielewa kabisa na wala hastahili kupata kick.
Upo sahihi mukubwa
 
Jerry Muro kwa CCM ni karai tu lakini mkulu bado ana masalio masalio ya viji-cheo uchwara. Aendelee na kiherehere chake anaweza kumpachika popote apone njaa yake.
 
Back
Top Bottom