Jerry Muro amlipua Masha

Hii ndio Tanzania bwana! Mie namwombea Mungu amsaidie na amtie nguvu ktk kipindi hiki kigumu kama ni kweli kwa yale aliyoyasema.God is Great

What goes around comes around, vipi yule dada Malaya uliye mdanganya atapata misaada ya kumkomboa kimaisha kama akijitangaza kwenye kipindi chako cha TV ,kuwa ana jiuza na ana watoto? mbona hukumlipa chochote na ukamtelekeza , dada wa watu alijidhalilisha kwenye TV na ukizingatia kua watoto wake ambao walikua wana soma shule ,walikua na wakati mgumu shuleni wakitaniwa na wenzao kuwa mama yao ni malaya na anajiuza. Leo unadai hizo $4,000 haha size yako hawajakulipa .hayo ndio malipo yenyewe !

Sheria za tanzania haziruhusu mtu binafsi kumiliki pingu pingu ni mali ya taasisi za kijeshi.Ndo maana waliomuuzia pingu jery wameshamruka.pistol kisheria inaruhusiwa kumilikiwa na raia kwa procedure maalum.ifike wakat tuwe wakweli jerry ni tapeli la kutupwa ndani ya maficho ya uandishi wa habari.

I FEEL SORRY FOR MURRO..HE IS GOOD BOY AND SMART..BUT SOMETIMES TO WIN SOMETHING YOU MUST JUMP SHARP BRIDGE WITH A LOT OF THORNS WHERE YOU MAY SOMETIMES FALL AND KILL YOURSELF///////God is great to u

Kaka Muro,kesi inayo kukabiri,nimeifuatilia kwa makini sana toka mwanzo,ni wazi inajulikana kwamba huna hatia na hata mahakimu wanao isimamia wanajua hilo,tatizo ni kwamba umeundiwa zengwe and there is some thing behind it,inaelekea uchunguzi na habari ulizokuwa unatoa ziligusa pabaya,tunakuombea kwa Mungu,haki ya Mtu huwa haipotei bali inacheleweshwa,pole sana kaka etu.

Mimi nina swali moja, ile jumuiya ya wanahabari au Jukwaa la wahariri wanasemaje kuhusiana na hilo? Nacho jua mimi ingekuwa nchi za wenzetu, lazima wangesimama kidete na kama kweli ni kesi ya kupandikizwa, basi isingechukua muda. Wanahabari mnasemaje??

Kitendo cha Jerry Mullo kuachishwa kazi wakati bado ni mtuhumiwa tu, ni kosa kisheria; TBC wana la kujibu.

Bwana Jerry hapa umecheza mkuu nimeupenda utetezi wako umeenda shule! Kwa kawaida kesi ni kujua namna ya kuishawishi mahakama ndio maana hata Nguza na wanae walifungwa kwa kukosa uwezo wa kuishawishi mahakama pale walipoogopa kutaja chanzo cha mgogoro wa kesi kuwa ni ngono za mkubwa!

Hapa bwana wagalagaze hao polisi walioshindwa kumtia hatiani Zombe wao kwa kupeleka hati hafifu za mashitaka ili wamchomoe wakati ni kweli aliuwa!
Tuko pamoja mpaka mafisadi wote wa nchi hii watokomee.

Pole sana brother,...
ukipona kwenye kesi hiyo Aljazeera ina kusubiria Nairobi na utafunika mbaya

Jerry uliwaumiza wengi,so you are only receiving the taste of your own bitter pills, dude!
Sekta ya habari inanuka ufisadi,tunafahamu kuwa waandishi wengi wa habari wanatamani kuwa matajiri,and so the likes of Jerry Muro,Saed Kubenea na watu wa Raia Mwema wamekuwa na utaratibu wa kuandika habari za kuchafua watu flani ili kuwatisha wawape hela...amtafute Mengi amsaidie kama anao ubavu!

Sema wewe kiazi, nikisema mimi mhogo wauchungu.............

Nyie wote hamueleweki. Pingu zilikuwa zinauzwa kwenye maduka ya silaha bila restriction yoyote, I personally saw zikiuzwa pale Tanganyika Arms. Baada ya jerry kuibuliwa soo, serikali ikajiumauma sana kwenye hiyo ishu, baadae wakazipiga marufuku! It seeme you two are not well informed ndo maana mnashangaa!

Bwana Jerry hapa umecheza mkuu nimeupenda utetezi wako umeenda shule! Kwa kawaida kesi ni kujua namna ya kuishawishi mahakama ndio maana hata Nguza na wanae walifungwa kwa kukosa uwezo wa kuishawishi mahakama pale walipoogopa kutaja chanzo cha mgogoro wa kesi kuwa ni ngono za mkubwa!

Hapa bwana wagalagaze hao polisi walioshindwa kumtia hatiani Zombe wao kwa kupeleka hati hafifu za mashitaka ili wamchomoe wakati ni kweli aliuwa!

Tuko pamoja mpaka mafisadi wote wa nchi hii watokomee.

Tuko pamoja kaka, ingawa ngoma ni nzito! Tatizo mahakimu njaa zimewatawala, wakidakishwa kidogo tu wanatoa hukumu kinyume.

Back
Top Bottom