(Kabla ya kuachishwa kazi nilikuwa nalipwa pesa kidogo, lakini walipomuondoa Tido hata kile kidogo nikawa sipati na hata zawadi yangu ya MCT hadi leo sijapewa, alidai Muro.)
Kwakweli inasikitisha huyu mtu anatuhumiwa tu, lakini tayari wamemfukuza kazi! Mbona jairo anavuta mshahara, mbona Liumba aliendelea kuchukua mshahara mpaka hukumu ilipotolewa? na hao wakurugenzi wa wanyamapori mbona wamesimamishwa kazi lakini wapo kwenye nyumba za serikali huku wakichukua mshahara? huyu wameacha kumlipa kwasababu alikuwa anawagusa wakubwa? Jamani ni lini huu uonevu utakoma? nimesikitishwa sana na utetezi wake inaelekea Tido aliagizwa asimpatie mshahara lkn akakaidi, huyu Mshana amemchinjia baharini. POLE SANA NDUGU YANGU ILA NAAMINI KAMA HUKUTENDA KOSA BASI UTAKUWA HURU SOON NA HAKI ZAKO ZOTE ZITAPATIKANA .