Jerry Muro amlipua Masha

kuna watu wanachanganya kidogo hapa hakuna mtu anayemtakia mabaya bwana Muro ata mimi pamoja na wanasheria wote niliowaona wanasema hakuna ushahidi wa kutosha kumtia hatiani, lakini lazima tuanze kuangalia mazingira ya ununuzi wa pingu hii, ukifuatilia serial number ya pingu hii inaonekana imenunuliwa kutoka duka la jeshi la JWTZ na bwana muro zamani za enzi yake ndani ya ITV na wakati uo hakuwa mwandishi wa habari za uchunguzi


daima tu pamoja na muro lakini kichwani nina maswali mengi sijui ni sababu ya ujinga wangu ila fikra zangu zinaona uelekeo wa jmuro kuwa huru na kujiunga shirika la habari la al jazeera la mh. Tido mhando
 
Back
Top Bottom