Jerry Muro amehasiwa kitaaluma?


Ni kat ya waandishi hodari na bora wa habari
 
Wachangiaji msimlaumu Jerry Muro, wote hapa tunahangaikia matumbo bora mkono uende kinywani; if you can't beat them join them. Bora huko Yanga atakuwa anapiga pesa nzuri bila kuhatarisha usalama wake, labda bakora pale timu ikifanya vibaya.

Ukitaka kujua adha ya uandishi-chokonozi, Mkuu Pascal Mayalla anaweza kutupa ushuhuda kilipoishia kipindi cha KITIMOTO
 
Last edited by a moderator:
"WITO WA KUJIHATARISHA KWA MASLAHI YA UMMA WA WATANZANIA"

Labda uwe mgeni na huo umma wa watanzania, maana hauna ushirikiano bla bla nyingi vitendo sifuri. Mwisho ws siku ni wewe na familia yako ndo mtahangaika likitokea tatizo.

Umma wenye uzoefu wa kujificha uvunguni.
 
ulitaka ang'olewe kucha bila ganzi?Jamaa siku hizi ni Msemaji wa klabu ya Yanga hana hamu kabisa na hizo habari zenu za Sisa

Nimecheeeeka, eti hana hamu kabisa na habari zenu za siasa.
 

Kaka Paschal Mayalla Akhsante Kwa Like Yako Na Natambua Uwepo Wako Kaka Yangu. Ubarikiwe Kaka!
 

umenena vema.
 

Acha Uwongo Ni Kheri Kama Huna Uhakika Wa Jambo Fulani Ukae Tu Kimya.
 
Jerry Muro ni mchezaji wa club ya yanga;
Majuzi alikuwa anapigana jukwaani huko uwanjani.
 
mambo ya kung'olewa kucha na meno bila ganzi jamani myasikie hivyo hivyo tu kwa wenzenu.......chochote anachokifanya kwa sasa kila la kheri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…