kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Ni mkubwa namfahamu sana mkuu na alihama toka mwanza akiwa darasa la 4 shule flani ndo maana nikauliza hivyoYule wa mmewe bado mdogo bwana, kwanza Jeremiah anaishi kwa baba yake. Na Janeth anamtunza vizuri kama mwanae tu.
Alitema shit sana siku zileMama Janet mbona watoto wake ni wakubwa au huyu ni wa mchepuko? Ninakumbuka wakati wa msiba wa Didasiassburi alisema wanaume wa kisfrika hawana mtoto cha ndzni wala wa nje wote ni watoto
No mwenyeji Mwanza na Sundi na mmewe wa sasa ni majirani tangu kitambo sanaKumbe unaishi madale ?
Hujaambiwa uwapeleke wanao shule za kayumba. Ila boresha basi izo shule za kayumba angalau wajenge madarasa ya tofali uezeke,maslahi ya walimu. Kwanza necta wanakosea kusema eti shule binafsi zimeongoza. Kwa uelewa wa kawaida huwezi weka kundi moja wanafunzi wa Feza na hao wanaosoma chini ya mwembe. Wawe na makundi mawili wakati wa matokeo yaani kundi la shule binafsi na lingine shule za kayumba.Haya ni mawazo ya kimasikini hivi nikiwa natetea wanyonge na mimi natakiwa kuishi kinyonge?Watz watu wa ajabu sana yaani unataka kuniambia niwapeleke watoto wangu shule za kayumba eti kisa natetea wanyonge?hiyo haipo kabisa hizo ni fikra finyu
Duh!Uongo, siyo mtoto wa Janeth huyu. Huyo mtoto ni wa Sundi Malomo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Vipi chief, nitangulie kabisa Nairobi?
OkeyNo mwenyeji Mwanza na Sundi na mmewe wa sasa ni majirani tangu kitambo sana
Hongera dr john pombe, matokeo chanya ya kusomesha watoto bure tumeyaona. CCM oyeeeee!View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera mtoto wa familia ya JPM
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu
View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Lissu, Mungu akuponye , uje uwatumikie watanzania kiukweli ukweli...View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera mtoto wa familia ya JPM
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu
View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
Hujielewi weweHaya ni mawazo ya kimasikini hivi nikiwa natetea wanyonge na mimi natakiwa kuishi kinyonge?Watz watu wa ajabu sana yaani unataka kuniambia niwapeleke watoto wangu shule za kayumba eti kisa natetea wanyonge?hiyo haipo kabisa hizo ni fikra finyu
Sasa kama yeye anahamasisha wenzake wasomeshe watoto wao kwenye shule za BURE mbona yeye anapeleka wa kwake kwenye shule za kata?Sasa kama kasoma feza ulitaka apate marks gani? Angekuwa amesoma shule yenye jina la kijiji kweli ukipata A zote hapo ndo ingekuwa story
Lakini yeye ni kiooSasa jamani mlitegemea Rais amsomeshe mwanae Kayumba ? Tena mimi naona Feza ni ya kawaida sana. Je angempeleka HOPAC,École Française au Tanganyika international school?Huko Feza hadi walimu wa primary school wanasomesha watoto wao hapo.
Mkuu ujanja ni kufanya kazi upate kipato cha kueleweka na wewe upeleke watoto wako shule zinazoeleweka sio kutegemea serikali tuHujielewi wewe
Kwani ulitaka akasome wapi wakati kipato cha Rais ni 9m. Mimi mwenyewe mtoto wangu anasoma shule za kulipia wakati mshahara wangu ni 1m kupanga ni kuchagua kijana!! Wewe si ulituambia pesa yako ni za kuonga wanawake kama ulivyokamatwa na malaya huko Shinyanga!!??View attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera mtoto wa familia ya JPM
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu
View attachment 613555
Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
sawa yeye ni kioo ndio ameonyesha mfano shule ya Feza igeni sasaLakini yeye ni kioo
Inabidi awe mfano
Jesca alilamba div 4 matokeo ya kidato cha nne .Muangalie Jesca na ndugu zake waliozaliwa na Janeth ndo utapata jibu.