Jenister Mhagama

Jenister Mhagama

Status
Not open for further replies.
Poa moyo kijana, huyo mama ni mjane, mme wake mr. Mhagama (Eng.) alifariki kitambo. Kama unahusudu wajane jitose tu jamaa yangu.

Jamaa angu alijitosa nae tumemzika sijui mama ana nn?
 
Jamani ee, kuna mwanasaikolojia hapa anisaidie kujielewa? mwenzenu nimepata kijitatizo kidooogo. Hii picha hapa chini nimeikuta mahali nikaipenda ghafla.... alaf hata sababu siijui. Jenister Mhagama lazima atakuwa mke wa mtu tu,na kama wote tunavojua mke wa mtu ni su? sumu.... kwa hiyo yeye so sababu ya mimi kuipenda hii picha. Yupo na rais na raia kadhaa hapa. Rais mwenyewe nampenda kidogo sana, ingawa simchukii. Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?

:spider:😛eace::spider:Any ideas?...

View attachment 173122
Mkuu, kuna mwanamuziki zamani kidogo aliwahi kuimba, "mapenzi ni kikohozi!!!!"
 
Jamani ee, kuna mwanasaikolojia hapa anisaidie kujielewa? mwenzenu nimepata kijitatizo kidooogo. Hii picha hapa chini nimeikuta mahali nikaipenda ghafla.... alaf hata sababu siijui. Jenister Mhagama lazima atakuwa mke wa mtu tu,na kama wote tunavojua mke wa mtu ni su? sumu.... kwa hiyo yeye so sababu ya mimi kuipenda hii picha. Yupo na rais na raia kadhaa hapa. Rais mwenyewe nampenda kidogo sana, ingawa simchukii. Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?

:spider:😛eace::spider:Any ideas?...

View attachment 173122

hivi unajua babu seya alipo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom