Jenister Mhagama

Jenister Mhagama

Status
Not open for further replies.
Huyo ni kama mama yako uwe na heshima!! Lazima tuheshimu viongozi wa serikali.
 
Kma unammendeo hyo mwenye top ya orange jipange.
 
Usijali Highlander, kama sikosei huyu mama ni mjane. Nakumbuka alimpoteza mwenzie some years ago. Sina hakika kama kuna aliyekuwahi. Waweza kujaribu bahati naona unayo.

Hujamaliza, sema pia kilichomuua ili Highlander afanye maamuzi sahihi
 
Last edited by a moderator:
huyu mama ni mjane, mumewe halisi tulishamzikaga miaka mingi sasa . ila kama una ubavu wa kushindana na mgombea mmoja wa upresident jaribu bahati yako. hofu yangu anaweza kuhamishia nguvu kwako baadala ya uraisi .

Huyo mgombea Urais akishinda hatamaliza term moja, Bendera nusu mlingoti
 
huyu mama ni mjane, mumewe halisi tulishamzikaga miaka mingi sasa . ila kama una ubavu wa kushindana na mgombea mmoja wa upresident jaribu bahati yako. hofu yangu anaweza kuhamishia nguvu kwako baadala ya uraisi .

Daaah...nimesoma hii nimecheka sana hivi Maneno km haya mnayaotaga wapi.....!!!! Yaani huyo mgombea uRAIS na huyo mMAMA ni muhimu zaidi kuliko hata huo uRasi daahh...
 
Usijali Highlander, kama sikosei huyu mama ni mjane. Nakumbuka alimpoteza mwenzie some years ago. Sina hakika kama kuna aliyekuwahi. Waweza kujaribu bahati naona unayo.
kuw

Hilo nalo neno.... Ila, mh....formation hiyo hapo juu mwana wani, inaleta ugumu.

Hujamaliza, sema pia kilichomuua ili Highlander afanye maamuzi sahihi

Mkuu IKWETE eee, ukweli kabisa kabisa sikuwa huko lakini...ingawa mtoto mwenyewe ana mvuto sana huyu lakini ha ha ha ha.... au we unaomwonaje huyu. Kwa huo ukibonge wake angekuwa sauzi watu wangeshatoana macho zamaaani ugomvi kila mtu anamtaka! ha ha ha. Manake wazulu kwa vibonge wanapenda saaana.
 
first born wako ni uyo kijana hapo juzi kati wamia kitaa, jenister ni mama mtu mzima tena mcha nguvu Mungu!
 
Jamani ee, kuna mwanasaikolojia hapa anisaidie kujielewa? mwenzenu nimepata kijitatizo kidooogo. Hii picha hapa chini nimeikuta mahali nikaipenda ghafla.... alaf hata sababu siijui. Jenister Mhagama lazima atakuwa mke wa mtu tu,na kama wote tunavojua mke wa mtu ni su? sumu.... kwa hiyo yeye so sababu ya mimi kuipenda hii picha. Yupo na rais na raia kadhaa hapa. Rais mwenyewe nampenda kidogo sana, ingawa simchukii. Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?

:spider:😛eace::spider:Any ideas?...

View attachment 173122
kula vyako. Rais mtarajiwa ni Prof. Tibaijuka sio nywele nyeupe, slaa, mbowe wala nn. 2015 tunaitaji rais msomi zaid km professor wa uchumi
 
Du...kosa limefanyika hapa, discussing people. Mamodi eee, tafadhali nisaidieni. nimebadili mawazo. nawaomba niondoleeni huu uzi hata sijui kwa nini nilianza kudiscuss people hiyo jana. ondoeni huu uzi jamani tafadhali sana, naomba. niliteleza tu binadamu mwenzenu nikaanza huu uzi kudiscuss mtu. kunradhi.... please!
 
Simple and mediocre mind discusses people..!!!....

hii ni kweli kabisa. nimeshaomba modi afute huu uzi. niliteleza tu ndugu. tuna mambo muhimu zaidi kujadili kuliko jenister mhagama. i am sorry and very sorry indeed!
 
Mkuu picha uiweke wewe sababu za kuipenda utuulize kina siye...watushangaza!!!

Hata hivyo picha hii ilipigwa mara tu baada ya Mama Jenister Mhagama kuapishwa kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Hao ndugu wengine unaowaona ni wanafamilia ya Mama Mhagama na siku hiyo Rais Kikwete alipiga picha na familia ya kila Waziri au Naibu Waziri aliyemuapisha.

Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?

Any ideas?...

View attachment 173122
 
siyo huko nilikokuwa naenda jamaa, eee!
Dogo! hebu rudia post yako ya mwanzo;
Jamani ee, kuna mwanasaikolojia hapa anisaidie kujielewa? mwenzenu nimepata kijitatizo kidooogo. Hii picha hapa chini nimeikuta mahali nikaipenda ghafla.... alaf hata sababu siijui. Jenister Mhagama lazima atakuwa mke wa mtu tu,na kama wote tunavojua mke wa mtu ni su? sumu.... kwa hiyo yeye so sababu ya mimi kuipenda hii picha. Yupo na rais na raia kadhaa hapa. Rais mwenyewe nampenda kidogo sana, ingawa simchukii. Sasa inakuwaje? Mbona hii picha nimeipenda?

:spider:😛eace::spider:Any ideas?...
 
Mi nafikiri ni kwa sababu unampenda huyo jamaa wa kulia mwisho maana hapo sioni uzuri wa huyo demu zaidi ya yeye kuwa mwanamke.
 
lengo la huu uzi ni nini? Mods peleka kwenye jukwaa la habari mchanganyiko huko wajadili wenye mawazo mchanganyiko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom