Jenifer Kyaka.

ni sawa nakusubiri embe lidondoke kwenye mti wa mbuyu labda kunguru akuibie sehemu la sivyo nenda bafuni na sabuni yako yakipande mvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuute mpigie bao zake 2 au 3 nenda kalale usituchoshe .
 
huu ni sawa na ushoga
 
Laiti kama mawazo kama hayo ungeyaendekeza kwenye ujenzi wa uchumi wako binafsi, naamini ungelikuwa mbali kimaisha.
Tatizo uchumi wake anaukalia tu............
 
Watu wenye kuhangaikia maisha huwa hawana muda na mawazo ya kijinga kama hivi...
Nina kila sababu ya kuamini kuwa kilichokupelekea kuandika hapa ni mihemuko kwa ushirikiano na kifanyio chako...
Ukishaanza kuona mwanaume anawaza namna gani ya kumpata mwanamke ili alale naye tu, jua kichwani hakuna kitu...
Wanawake sio wansesere wa kuchezea yaani ukiuona tu dukani basi unataka kuumiliki, wanawake ni watu kama wewe...
Ukitumia mbinu kama hii kumpata mwanamke, haki ya Mungu nakuhakikishia wewe mwanaume na huyo mwanamke wote ni wa kudharauliwa....

nisawa vyote nafaiti
 
Tatizo uchumi wake anaukalia tu............

Hahahah....hii maneno ilitaka kuzua balaa siku moja nikiwa shule...kuna jamaa aliambiwa hivyo yaani kidogo azichape!!!
 
asante mwalimu wa maisha ila utanisamehe kidogo maana hapa nipo kwenye mapenzi tukutane kwenye maisha mtaani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…