Jengo zima lamezwa na shimo....What the hell???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jengo zima lamezwa na shimo....What the hell????

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ab-Titchaz, Jun 1, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  JUAN CARLOS LLORCA, Associated Press Writer

  GUATEMALA CITY - Torrential rains brought by the first tropical storm of the 2010 season pounded Central America and southern Mexico, triggering deadly landslides. The death toll stood at 15 Sunday but authorities said the number could rise.

  A three-story building in northern Guatemala City fell into a sinkhole but there were no reports of victims

   
 2. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Du!
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hii inatisha. yaani wanadamu tukikaa kkwenye majumba yetu ya kifahari huwa tunajiona tumefikaaa, hadi watu wanafikia kumtukana na kukufuru Mungu...kumbe Mungu peke yake ndo anajua hali halisi ya usalama wetu....sasa jengo na eneo kama hilo watu waliokuwa wanakaa juu yake hawajazimia kweli....na tsunami ilikuwa hivyohivyo...mahotel na mabangaloo ya beach ndo yaliyoliwa zakdi...tufke wakati tuishi kwa kumtegemea Mungu tu, tukijua kuwa yeye ndiye ameshikilia funguo ya maisha yetu, anaweza kufunga au kufungua wakati wowote akitaka. sifa na utukufu apewe Mungu.
   
 4. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  2012 hiyo dalili zake...
   
 5. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  r145161322.jpg capt.a991de09a19645a0be3a495f239ef69a-bf7fee7f39994e01b7c9f4eebe53f085-0.jpg ra572889842.jpg r2013164472.jpg

  Mi nahisi ni nyakati za mwisho wajameni tumgeukie Mungu
   
 6. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli duniani kuna mambo.
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Swali langu ni kama hili shimo wataziba na kama watafanya hivyo watatumia nini maana panaonekana ni
  kina kirefu kweli.
   
 9. Mwazani

  Mwazani Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningependa kujua kina cha hili shimo.
   
 10. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Hakuna ajuaye maana ni kiza tuuu!!!
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo waliozama wameingia kuzimu na miili yao?
  very sad.
  ninyi mnaojenga darisalama ambapo mnajua mji wote una bahari chini mjifunze hapo
   
 12. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hakyamungu ikistaajabu ya mussa utaona ya filauni
   
 13. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hujafa hujaumbika! Na the way lilivyokatwa hilo eneo kama kipande cha keki.
   
 14. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  This is bitter/angry (hii ni kali) lol
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jeez nini hiki??
   
 16. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  I can sense the same. Very bad kwakweli, poleni huko na maafa
   
 17. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Niliwahi kusikia story wakati fulani kuwa hata huko zanzibar kuna eneo nyumba ya kawaida tu ya kuishi watu ilizama ardhini na kupotea kabisa hadi hii leo pale mahali hata wenyeji wanapaogopa kukaribia. Sasa cjui ni kitu gani may be wataalamu wa miamba watuelimishe. Ila hii ya Guatemala ni kiboko!!
   
 18. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #18
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yethuu na Maria!!!!!!!!!!!!!! hapana ona kitu kama hii kwa maisha yangu......Naona siku zina karibia wajemeni turudini kwa muumba wetu thatha!
   
 19. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ni kweli kabisa ndugu yangu... tunathamini sana vitu vya kidunia; KAMA YULE MCHUNGAJI MWENYE HUMMER!!! PALE NDIO KAWAPA MASKINI MSAADA

  GREEDY!!!
   
Loading...