Jengo lipi refu Dar na lina loshen ngapi?

Ni lile lililopo Makumbusho linaloendelea kujengwa nyuma ya millenium tower
 
Kuna moja linajengwa pole manzese nyuma ya uwanja wa fisi nimesahau jina lake
 
Ukishajua ndio ukasimulie kwenu Mbwinde kuwa umefika Dar!!washamba mko wengi nchi hii!!
 
Jengo la umoja wa vijana wa CCM UVCCM ambalo lina ghorofa 34. Ndo maana watu wanaogopa kulitaja wataonekana kama wanaifagilia CCM. Siasa mbaya sana
 
Nakumbuka miaka flanu ya nyuma Jengo la TANESCO pale Ubungo ndilo lilokuwa linasemekana ni refu kuliko yote. Sasa hivi kwisha habari yake!
 
Back
Top Bottom