Jengo lipi refu Dar na lina loshen ngapi?

Afu ilikuwepo moja nilinunua wakati naenda fimu wani

Yaani kopo kubwa kama ndoo ya lita 10 kwa shilingi 235.
Sijui ilikuwa inaitwa Geisha, sijui nini

Yaani mnapaka bweni zima na haiishi

umesahau sweetheart losheni, ambi losheni, clere loshen
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom