Hivi ndivyo linavyoonekana.hongera sana serikali kwa juhudi kubwa zilizofanywa kuhakikisha kuwa serikali inahamia dodoma haraka iwezekanavyo. Hapa kazi tu
Nadhani kipindi cha kuonesha rangi yako halisi bado haijafika ila sintoenda kwa upepo bali nusu muhula wako madarakani utafumbua kitu..
Naamini kuna kitu kipo ndani ya akili na hisia zako ila matendo yako ya kung'ata na kupuliza yanakuonesha jinsi gani bado haujachagua ni kipi bora zaidi kati ya kuuma ama kupuliza ila muda utaonesha.....
Kila nyuma ya kinyago kuna sura na nyuma ya sura hiyo kuna siri nyingi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.