Jengo la Raha Towers linawaka moto

kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa wakili mmoja ambaye ni mpangaji hapo,anadai wamefanikiwa kuzima moto huo,kabla haujasambaa.
 
Hivi hii kampuni ya South Africa airways bado ipo Dar?
Ndipo Moto ulipo kuwa unawaka.
 
safari ni safari
juu ya jengo hili wameliandika raha tower ni seva ya internet wakati katikati ya jengo limeandikwa sophia house, umenipata mjumbe
 
Wejemeni, Jengo ni la Raha Towers, Sofia House ni mpangaji tuu, hivyo haiwezekani likaitwa jengo la Sophia House, japo nakubali, hutokea mazingira yakalibadili jina la jengo kutokana na umaarufu wa mpangaji, kama Steers au Shoprite etc.
 
safari ni safari
juu ya jengo hili wameliandika raha tower ni seva ya internet wakati katikati ya jengo limeandikwa sophia house, umenipata mjumbe

si kweli,ila raha towers na raha.com mmiliki ni mmmoja bango ni la raha.com.Sophia House iko chang'ombe opposite VETA hapo pana sophia hotel and apartments kama mpangaji.Niliwahi kupanga office hapo na jirani yangu alikuwa mzee ndolanga.
 
Wejemeni, Jengo ni la Raha Towers, Sofia House ni mpangaji tuu, hivyo haiwezekani likaitwa jengo la Sophia House, japo nakubali, hutokea mazingira yakalibadili jina la jengo kutokana na umaarufu wa mpangaji, kama Steers au Shoprite etc.

Thanks kaka...siku hizi hatuna tena hata CCM Kirumba bali KIRUMBA STADIUM...
 
ukifuatilia lazima palianza kufuka moshi kwenye moja ya ofisi hizo ndo maana leo moto umewaka....upo hapo
 
Mungu atunusuru

Hivi kuungua kwa haya majengo ambapo baadhi ya chunguzi zimeonesha chanzo ni hitilafu za umeme ukiondoa uzembe wa kibinadamu. je bodi ya makandarasi inaishia kukagua ubora wa jengo au hata kuangalia matumizi yake (continuous)?

lazima tujibu maswali magumu ili kupunguza kadhia ya majengo kuungua moto.
 
Mioto yote maofisini hutukea asubuhi asubuhi...kwa nini?
...Ili moto uunguze vizuri, watu wa zimamoto lazima watachelewa kufika maana foleni ndio muda wake huo...So hata uwezekano wa kuuzima moto wote huwa mdogo...sijui hawa waliowahi hapa Raha tower walikwenda kwa helikopta au walipitia wapi?
 
Mmiliki wa Raha Towers ni mutu muzito sana..........
 
Back
Top Bottom