Jengo la Raha Towers linawaka moto

Jengo la Raha Towers linawaka moto

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,506
Habari nilizo zipata hivi punde jengo la Sophia house opp. na mahakama ya Kisutu linawaka moto sasa hivi kwenye gorofa za chini. Nitarejea baadae ngoja niwahi eneo la tukio.

SDC14511.jpg


SDC14503.jpg


SOUTH-AFRICAN-5-738852.jpg


Ofc ndani
 
Naambiwa kikosi cha zimamoto kimesha wasili eneo la tukio
 
OOOpsss!Save the souls!They have to hurry up to save any humans inside there!..God help!
 
Ooh kwa mara ya kwanza kikosi cha zimamkimewahi au kwasababu wako karibu?
 
SAFARI NI SAFARI

kuna maofisi ya makampuni na mabenki , hata kuna seva za internet mule,

hahaaaaaaaaaaaa usisahau na ofisi ya kampuni ya NICO ambayo juzi juzi tu walikuwa na mgogoro na wanahisa wake

MIMI SIJUI
 
yes na pale chini kuna duka maaarufu la vifaa vya compyuta!
Tupashwe chanzo ni chini upande upi?
 
duh.......building codes tanzania hakuna au? manak hizi ajali kwa majengo zimekuw nyingi kupitiliza
 
mmh.. mngekuwa mnachungulia chungulia upande ule mambo mengine wala yasingekuwa yanawashtua sana.. Mungu bado anatawala.
 
safari ni safari

raha tower na sophia house ni jengo hilo hilo
 
Back
Top Bottom