Jengo la NSSF Moshi

Tena nawasifu nssf cz waliona mbali sana kujenga hili jengo.labda ulitaka wajenge Simiyu?

Mkuu tutake radhi watu Wa Simiyu! Ila vijana wa Mulugo kwa kweli ni kazi, yaani wao wanaangalia mita 100 tu ndiko upeo wao unapoishia! Hizi investments return yake ni ya muda mrefu, 20 yrs and above! Hapa tuelewe kuwa Moshi ya leo siyo hiyo itakayokuwa miaka 30 ijayo. Kwa hiyo hao nssf wamelenga penyewe, THUMB UP NSSF! Hata kwa Mwanza watu walisema hi yo yale majengo ma3 ya NSSF, na PPF pale Kenyatta road. Nenda sasa hivi kama utapata nafasi!! Labda tungezungumza kama wameweka Makandarasi fake kwamba jengo halitakuwa imara. Kwa mengine tutawasingizia! Kama ni business plan si uende uulize nssf kwenyewe, sidhani kama wamekurupuka kujenga bila kuwa na hiyo kitu! NSSF OYEE, MOSHI OYEEE, NDESSA PESA OYEEEE! CHADEMA OYEEEEEEE!
 
kwa taarifa yenu tuu ni kwamba 45% ya hilo jengo limeshapata wapangaji. hii ni ikiwa bado halijakamilika.
 
Back
Top Bottom