Realboynicky
Senior Member
- Mar 31, 2023
- 166
- 311
Sure!sijui kulikuwa na haja gani kuenzi huo utumwa.....Watanzania hatuwazi nje ya box
Yaani ni ukoloni mamboleoNami nimesema hivyo hivyo🤣
Kumbe mambo ndio hayo??nilidhani sisi ni jamuhuri ya watu huruKwani hujui bongo inatawaliwa na waislam kwa siri hivyo hilo jengo lazima liwe na nakshi inayofanana na culture yao. Hawa wazee wa bismillah wanaturudisha nyuma mno
Sio RC tena?Kwani hujui bongo inatawaliwa na waislam kwa siri hivyo hilo jengo lazima liwe na nakshi inayofanana na culture yao. Hawa wazee wa bismillah wanaturudisha nyuma mno
Ulitaka ijengwe kwa nyasi na miti kukumbuka asili yetu au !Jengo linaloleta kumbukumbu za utumwa wa waafrica kwa mwarabu.
Ndio , Umepandwa. Mti usiokua na matunda. Nafikiri baada ya muda matunda yataonekana.Vp kumepandwa miti
Ova
Jongwe! [emoji23] Huyu jamaa lazima awepo,...maana na yeye anasemaga anautaka URAISNimemuona SUGU[emoji1787][emoji1787]
Sio RC tena?
TANZANIA , we are the BestAfrika nzima sijaona jengo la Ikulu nzuri kama hii.
Proud to be Tanzanian.
Sio kweli bhana!!Sio RC ni hao wazee wa bismillah na ndio waasisi wa Tanu nyerere alitumika tu kama kivuli kwa kuwa alisoma na ni mkristo hivyo angewezana na waktisto wenzake (wakoloni) kudai uhuru lakini wao ndo walishika uskani nyuma ya pazia. Huo hata mlangoni ikulu kuna maneno ya kiarabu.
Mohamed SaidSio RC ni hao wazee wa bismillah na ndio waasisi wa Tanu nyerere alitumika tu kama kivuli kwa kuwa alisoma na ni mkristo hivyo angewezana na waktisto wenzake (wakoloni) kudai uhuru lakini wao ndo walishika uskani nyuma ya pazia. Huo hata mlangoni ikulu kuna maneno ya kiarabu.
Sio kweli bhana!!
Hizo ndio design za ikuku unatakaje ijenhwe Kama jengo la TPA au BOTView attachment 2628292View attachment 2628293View attachment 2628294
Victorian Architecture. Miaka 200 iliyopita. Sisi tunakuja kujenga pagala halafu gharama yake sasa unaweza kuzirai
Sema kweli kuwa ulitaka lifanane na kilinge cha mwamposa.Hayo yako Tena,siko kwenye mlengo wa dini Mimi...nataka ijengwe Kama Ngome ya mtemi Mkwawa,Mangi Sina,mtemi Mirambo,mtemi Kibasila na mtemi Tambaza
Aseee we bro ni bodaboda nini?Wakamtuma nyerere ajiunge na zanzibar kwa kuwa zanzibar haina rasilimali hivyo walitegemea kuinyonya tz. Wakamtuma akawazuie wachaga,Wahaya,na wanyakyusa madarakani coz haya makabila large percentage yalikuwa ni ya kikristo hivyo wangeingia madarakani wasingesupport ujinga wao. Na wangendeleza maeneo mengine nchi hii ambayo sio dar wala pwani mambo ni mengi
Copy and paste ,hamna kituJengo la Ikulu , Chamwino Dodoma lina tarajiwa KUZINDULIWA leo tarehe 20. May. 2023 Jumamosi na Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ( Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Sita )
Namuomba sana MUNGU, aliwekee WOGA, HOFU, WASIWASI na MASHAKA,.. ili liweze kukaliwa na watu sahihi. Na wale wasiokua sahihi wasipate nafasi hata ya kulisogelea.
"Ikulu ni mahala patakatifu" Mwl. Nyerere ( Hayati Baba Wa Taifa )
"MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TANZANIA"
OMBI LANGU KWA MUNGU WANGU : Naomba huo MTI WA KUMBUKUMBU utakaopandwa na Mhe. Rais Leo hii, MUNGU akaupe uwezo wa kutoa VITISHO kwà kuwapa WOGA na WASIWASI mahasimu wote wasioitakia mema Nchi yetu, na pia ukawe na uwezo wa KUWABABAISHA maadui wote wenye nia ovu katika Taifa letu kwà kuwapa HOFU na MASHAKA makubwa.
View attachment 2628286
Sio KILA kitu lazima kiwe wazi. Akili za kuambiwa changanya na zako. Kumbuka Ikulu ni jengo la ULINZI NA USALAMA.Copy and paste ,hamna kitu
Wame copy na ku paste ramani ya Dar japo najua Baadhi ya vitu na sections humo ndani zimebadilishwa ila muonekano wa Nje ni ule ule..Sio KILA kitu lazima kiwe wazi. Akili za kuambiwa changanya na zako. Kumbuka Ikulu ni jengo la ULINZI NA USALAMA.
Wakwambie KILA kitu publically , we nani?
Hujaipenda? Au kwà kuwa umezoea kuiona mara kwà mara , imekukinai au sio?Wame copy na ku paste ramani ya Dar japo najua Baadhi ya vitu na sections humo ndani zimebadilishwa ila muonekano wa Nje ni ule ule..
Tunge design muonekano Wetu Ili Ikulu ya Dar iwe jumba la makumbusho