Ni kweli lakin kuwaacha wazee wananyeshewa mvua sio poaHivi nani anapaswa kuyengeneza nyumbani kwenu baba au wewe?je nani atatengeza kwako au utasubiri mtoto wako aje akutengenezee na wewe,na kwanini ukazikwe kwenu ambako baba yako hajatengeneza?
Baba yako atazikwa kwake ambapo hajateneza kwani ukiumwa huwa unaenda kutibiwa kwenu?
Sera za extended family hizo zimepitwa na wakati
Sasa hapo tabu ni ya kwangu au ya kwaoMarafiki zako watakushangaa,jinsi mlivyokuwa mnatanua kwenye starehe
Ukibahatika kuoa mwanamke anayekupa support ili ujenge/uendeleze kwenu, jua umeoa malaika wa dunianiVijana wa kiume huwa hamkumbuki kutengeneza kwenu
Wachache haoUkibahatika kuoa mwanamke anayekupa support ili ujenge/uendeleze kwenu, jua umeoa malaika wa duniani
kwani wengi huwabana wanaume hadi cent ya mwisho....halafu bado huishia kuwalaumu eti kwa nini hawaendelezi kwao?
Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Sio kweli.Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Kwa hiyo bora kipi sasa kwakoMtu akijenga kwao na kupapendezesha nayo mtaleta zengwe!
Asipojenga napo zengwe
Ova
Duh! Kama hana uwezo wa kujenga msameheni ila inasikitisha wanangu.Nimeona picha hii sijui alikuwa kiongozi ila mpaka kifo kimemfikia naona kwao alikuwa kashindwa kupaendeleza.
Hivi hawa watu wapo
View attachment 1763679
Acheni masimango apaendeleze vipi km nyumba ya bati hiyo, gari linafika mpaka mlangoniNimeona picha hii sijui alikuwa kiongozi ila mpaka kifo kimemfikia naona kwao alikuwa kashindwa kupaendeleza.
Hivi hawa watu wapo
View attachment 1763679
Jiwe wa watu kajenga kauwanja tu heeee!! alivo simangwa!!!??? hee mpaka akafa kwa masimango tyuu!! wakampiga beat ndege hazitatua basi tuone eeee!Mtu akijenga kwao na kupapendezesha nayo mtaleta zengwe!
Asipojenga napo zengwe
Ova
Acha uongo Mkuu!Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Booora!!! kuliko kukosa kabisa!! wacha mapanya yaleee si ya kwao lkn!!! Marwa Winani kajenga, Dr Gesase kajenga tena hukooo karibu na Kongoree!! alizikwa kwa heshima zooote pale!!Bhoke Munanka alijenga kwao Tarime jumba kubwa sana ambalo kila aliyekuwa akiingia tarime mjini lazima ataliona kwa vile lilikuwa kilimani; nadhani lilikuwa na vyumba karibu 10. Lakini lakini yeye mwenyewe alikuwa anaishi Dar na familia yake mpka jumba lile likawa maskani ya nyoka wakazaliana mle. Alipofariki alizikwa Kinondoni, hakupelekwa kwenye jumba hilo.
2017....barakoa????Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Walio like comment hii hawana hata kiwanja.Duniani tunapita tu wakuu, kwanini ujisumbue kujenga njiani?
Mimi binafsi mama ndo ameusika Sana kujenga kijijini kwetu lakin pia na ujombani huko kwa ndugu zake.Ukibahatika kuoa mwanamke anayekupa support ili ujenge/uendeleze kwenu, jua umeoa malaika wa duniani
kwani wengi huwabana wanaume hadi cent ya mwisho....halafu bado huishia kuwalaumu eti kwa nini hawaendelezi kwao?
Wajenge kwao wafe??? Tarime tu ndo wanajenga hakuna uchawi kureeeNimeona picha hii sijui alikuwa kiongozi ila mpaka kifo kimemfikia naona kwao alikuwa kashindwa kupaendeleza.
Hivi hawa watu wapo
View attachment 1763679
Bila shaka una dada wzuri nipe connection usifanye wivu ukininyima najua kwa nini....Mimi binafsi mama ndo ameusika Sana kujenga kijijini kwetu lakin pia na ujombani huko kwa ndugu zake.
Mpaka namuonaga Baba ana bahati Sana kupata mwanamke kama Yule.wakimuliza anasema anajengea watoto wake wakina Sisi.tena ana wakiume watano yupo sasa kutusaport kutengeneza maisha
Dada ninaye mmoja yeye kashaolewa wengine wote boysBila shaka una dada wzuri nipe connection usifanye wivu ukininyima najua kwa nini....
Duuuh, naona viashiria vya korona mkuuNi kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017