Hata kama, ila nyumba ni muhimu hata kama ni nyumba ndogo tu.
Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Ukweli kabisa.Jengeni kwa wazazi kwanza mjini tunapita tu
Nyumba ni kwa ajiliya kuishi hata baada ya wewe kuondoka duniani.Kwa ajili ya kuishi au ili tu nisiaibike nikifa?
Ni kweli inabidi mjipange sawasawaUnajua katika upambanaji huu unakuta ramani hazisomeki.Kusubiri mpaka ujenge home ndio u make family wakati mwingine inaweza isiwe rahisi
Marafiki zako watakushangaa,jinsi mlivyokuwa mnatanua kwenye stareheNimekufa mimi aibu inaingiaje![emoji276]
Marafiki zako watakushangaa,jinsi mlivyokuwa mnatanua kwenye starehe
Ni kweli inabidi mjipange sawasawa
aise kumbe mara korona iliingia 2017¿Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Kwanini wazazi wasijenge kwao?,na mimi nikajenga kwangu?Jengeni kwa wazazi kwanza mjini tunapita tu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji109][emoji106]Unaanza kujenga sehemu ambapo nyumba iyakuwa na thamani bhana. Kwetu ni next step
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787] umeua bendi mkuu....[emoji12]Duniani tunapita tu wakuu, kwanini ujisumbue kujenga njiani?
2017 na hizo mask mkuu? Nadhani utakua ume mix madesa kidogo.Ni kota za polis mkoani mara wilayani bunda ,huyu polis alijiuwa mwaka 2017
Kuna kamishna mmoja wa magereza Tanzania alifariki huko mkoani Mbeya alikokuwa kikazi, alivopelekwa kwao Tanga ilikuwa ni aibu...walikuta nyumba za makuti na hali mbaya ya makazi....Tukumbuke home wakuu...hata kama hatuna nafasi kivile...na laana kubwa ni unapomjengea mwanamke/Malaya wakati wazazi wako wanaishi kwenye tembe