Jenga utaratibu wa kutembelea Wagonjwa japo mara moja kwa mwezi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Tunaishi hapa duniani ila.kuna baadhi ya maeneo ni hapa hapa duniani ila watu huwa katika ulimwengu tofauti kabisa hasa wagonjwa hospital na majumbani.

Ukifika hospital kuona wenzako wanavyotaabika na magonjwa utapata somo, ukiwajali na kuwasidia utapata utulivu wa moyo kwa kiasi fulani utaona pia namna wauguzi wetu walivyo na kazi ngumu.

Tembeleeni wagonjwa ni binadamu walikuwa na afya njema kama wewe japo ushiriki nao ulimwengu wao wa kipekee ambao na wewe siku moja lazima utapitia mazingira hayo japo yanatisha..

Asante.
 
Tembeleeni wagonjwa ni binadamu walikuwa na afya njema kama wewe japo ushiriki nao ulimwengu wao wa kipekee ambao na wewe siku moja lazima utapitia mazingira hayo japo yanatisha..🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Asante mkuu, andiko lako limenifanya nipigwe ganzi sek 5. Likizo hii nitatembelea watoto wenye mahitaji kwenye makambi yao
 
Sisi wengine tulishakubali duniani hakuna Mungu

Ni kanuni zinatawala kushoto na kulia

Kujitia huzuni kwa kutembelea wagonjwa spiritual ina faida ila kama kitamaduni unaenda kuzoa negative energy na kila balaa litakuhusu
 
Utaratibu upoje kaka…
Kabla ya hapo tuliongea na menejimenti ya hospital ya temeke kuwa sisi kama wafanyakazi wa taasisi____ tunataka kutoa msaada hapo tukakubaliwa kesho yake tukaanza safari hadi temeke na tukatoa msaada
 
Nawaza mtu binafsi, au kidogo changu kitapuuzwa?
 
Back
Top Bottom