Jenga nyumba yako kwa mkopo wa kulipa kidogo kidogo

Obamamtoto

Senior Member
Oct 23, 2012
130
179
Jenga nyumba yako is a product design to help people of all income level to acquire loan to build house of their dream starting from 29 milions,with repayment period of up to 20 years
Tuwasiliane kampuni yetu ni burusu construction ltd mbali na kudesign, pamoja na kujenga,repair $maintenance,land scaping,burusu products (kerbstones,paving blocks,blocks)tumekuja na hili la kuwawezesha watu kujenga nyumba wanazozitaka kupitia mkopo wa bank na vigezo lazima kiwanja kiwe na lease na pia uwe umeajiriwa au mfanya biashara na nyumba za kuishi kurudisha ni miaka 10 na nyumba za biashara ni miaka 5 na bank itakupa asilimia 80 na nyumba pamoja na kiwanja ni asilimia 20 ikishafikisha asilimia 20 na kuendlea basi bank ndio wataweza kukupatia huo mkopo ambao sisi kama kampuni ndio tutakaokuunganisha nao asilimia 20 inakuaje ukiwa na kiwanja chenye thamani ya milion 30 na nyumba unayotaka kuijenga ni ya milion 40 jumla ni milion 70 ambayo asilimia 20 ya milion 70 ni milion 14 ambayo kwa ile ya bank ya 80% ni 56 so hapa bank watakupa mkopo pia kama umeshajenga nyumba lakini umefikia hatua ambayo huwezi kuimalizia pia unakaribishwa hata kama gharama ya kumalizia hazitafikia milion 29
#pia nashukuru kwa wale ambao waliowasiliana nasi kutoka seheme mbalimbali ya nchi yetu na hata kama upo nje ya mkoa tutafanya kazi na ww ila changamoto kubwa kwa wateja tulio wasiliana nao wengi viwanja vyao havina lease na tumeongea nao vizuri na wameshaanza mchakato wakukamilisha suala la lease then tutimize kile walichokusudia .
asanteni sana kwa wale walio uliza maswali

+255754583499
 
Jenga nyumba yako is a product design to help people of all income level to acquire loan to build house of their dream starting from 29 milions,with repayment period of up to 20 years
kwa waliopo Arusha tuwasiliane kampuni yetu ni burusu construction ltd
+255754583499

Weka detail ya vitu vinavyotakiwa kwa MTU kuwa na vigezo
 
Weka detail ya vitu vinavyotakiwa kwa MTU kuwa na vigezo
Asante sana kwa ushauri wako ila hapa kama kampuni yetu kwa wale ambao wameajiriwa tunawaunganisha na bank ambazo tumeshaongea nao alafu ww kama mteja ndio unachagua ujenge nyumba kuanzia shilingi ngapii ila tunaanza na milion 29 na kuendlea alafu unakuwa unalipa kidogkidgo ndani ya miak 20 vitu unavyotakiwa kuwa nacho ni ardhi tu
 
Je uwanja lazima awe nao mjengewaji au hata na nyie mnatoa huduma za viwanja pamoja na nyumba?
 
sisi tutakuonyesha ramani tulizonazo ukizipenda basi tunakufanyia kazi lakini pia ukija na ramani yako au ukitaka iweje pia tunakusikila
 
Je uwanja lazima awe nao mjengewaji au hata na nyie mnatoa huduma za viwanja pamoja na nyumba?
Viwanja ni lazima uwe nayo au kama hauna itabidi ununue ambavyo sisi tunaviuza ukisha nunua ndio hatua ya pili inafuata na viwanya vilivyopo vipo maeneo ya njiro 20m x 20m na bei ni milion 6
 
Asante sana kwa ushauri wako ila hapa kama kampuni yetu kwa wale ambao wameajiriwa tunawaunganisha na bank ambazo tumeshaongea nao alafu ww kama mteja ndio unachagua ujenge nyumba kuanzia shilingi ngapii ila tunaanza na milion 29 na kuendlea alafu unakuwa unalipa kidogkidgo ndani ya miak 20 vitu unavyotakiwa kuwa nacho ni ardhi tu
Ebu kaka wasaidie wenzingine kuamini kuwa mil 29 inajenga nyumba maana mimi nimewaeleza wabishi kwel tena me nilimwambia mil 32 coz hakuna riba wakabishàaaaaa ila waliokuwa serious walikuja ofisin na watajenga sasa so watz uende nao taratibu
 
hadi sisi tumeweka tangazo hili tunajua kwa hiyo 29 inajenga nyumba ila ni 2bedrooms,dining,livingroom,kitchen,toilet $bathroom,store vyumba vikizidi na garama zinaongezeka
 
Asante kwa majibu yako ila kuna mushkeli mahali,hiyo bei mliyotaja ni ya ujenzi pekee hivyo bado riba ambayo itakuja kuongezea juu ya hizo bei za nyumba na hivyo kufanya hizo nyumba kufikia 40+ kwa hiyo ya 29. Au nimekosea hapo
 
Back
Top Bottom