Jenga hoteli sambamba na uwanja wa mpira( pitch )tu, Utakuja kunishukiru

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,898
Reaction score
2,256
Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana USHAURI.

Tetesi Zina dai ni kijana TU SI mzee Wala bilionea mkubwa nchini nikashtuka. Wengine wakadai ni kampuni ya black rhino holding ILA mmiliki wake ni kijana TU alichungulia fursa akawekeza. Samahani kama tapotosha nirekebishwe inasemekana anaitwa Nickson Maliki.

Tuachane na hayo hayatuusu. Lengo LANGU NILITAKA kutoa USHAURI JUU ya fursa ya michezo hususabi mpira WA miguu kwa SASA. Dunia inakumbwa na machafuko pia nchi yetu inazidi kuandaa michuano MBALIMBALI nchini, nikajiuliza JE matajiri wetu WAMESHA ona fursa HII.

SABABU ya TIMU ya Kenya kususa cecafa inasemekana miundo mbinu ya uwanja waliopewa kuifanyia mazoezi HAkUA na ubora wakapata shaka KUHUSU afya ya wachezaji WAO. Pia hoteli waliopewa haikuwaridhisha, wakajitoa kushiriki michuano hiyo. KUMBUKA afcon itafanyika hapohapo ARUSHA JE tumejifunza JAMBO?.

Niwakati SASA wamiliki WA hoteli MBALIMBALI nchini hususani mikoa yenye miundo mbinu ya kimchezo kutenga eneo la uwanja WA mpira WA miguu. Namanisha ujenzi WA hoteli uendane na uwanja WA mpira WA miguu kwa ajili ya kuzivuta TIMU MBALIMBALI nchini KWENYE pre season au michuano MBALIMBALI kama kijana kama HUYU kaweza na amini wengine pia wataweza.

TIMU zitashawishika kufikia KWENYE hoteli yAKO kutokana na kujitosheleza kwa mahitaji Yao. TIMU ka al hilal ilitaka kushiriki ligi ya tanzania tukaikataza, nilishangazwa sanaa alafu tumekomaa ETI kupromoti utalii SASA watalii wanakuja mnawakata TENA unazani al hilal angetuachia shingapi kwa msimu MZIMA?.

Ni mawazo YANGU TU WAKUU na amini Kuna WATU wana mawazo Bora watakuja kuongezea na WAO.

Kwishaaaaa
 
Attachments

  • Screenshot_20250727-100313.png
    Screenshot_20250727-100313.png
    788.9 KB · Views: 20
Next to impossible to get a plot near the football stadium /pitch
Mkuu sijamanisha uwanja WAO no namanisha we mmiliki WA hoteli nenda NJE huko ya mji Jenga hotel weka na uwanja. Ukienda Dodoma KULE Nala unapata ploti la kufa MTU Jenga HOTELI weka uwanja ALIKUA TIMU MBALIMBALI uwanjani kwako. Zikjua Kuna uwanja HAPO HAPO INAKUA nafuu KWao

Kwishaaaaaaaa
 
Yes Ina hitaji mtaji hasa NDO MANA nikasema wenye uwezo.

Kwishaaaa
Uwanja unao hitajika ni WA mazoezi SI mkubwa, no just a pitch. NDO MANA case study nikasema uwanja WA karatu. Nenda NJE huko ya mji CHUMA lieneo unazani HUYU jama KWENDA KUJENGA karatu WATU walimuonaje? SI walichukulia POA. Leo ana host international competition. BADO TIMU kubwa KUWEKA pre season TU. Anajipigia zake hela

Kwishaaaaaaaa
 
Mkuu sijamanisha uwanja WAO no namanisha we mmiliki WA hoteli nenda NJE huko ya mji Jenga hotel weka na uwanja. Ukienda Dodoma KULE Nala unapata ploti la kufa MTU Jenga HOTELI weka uwanja ALIKUA TIMU MBALIMBALI uwanjani kwako. Zikjua Kuna uwanja HAPO HAPO INAKUA nafuu KWao

Kwishaaaaaaaa
sawa kabisa. hapo nimekupata. Inaweza kuwa investment zuri. Shida je TFF and other mamlaka za mipira watakupa mechi za kuchezea huko? Roho mbaya na politics za fitina kwa waafrika, ngozi nyeusi.
 
Wazo zuri nafikiri huo uwanja Kama ulivyosema unatumika kwa mambo mawili mazoezi ya timu na pre season.
 
TFF wanakuwa wanaingilia hadi viwanja binafsi .

Kama umeona uwanja wa yanga wa kigamboni na simba Bunju

Means hivi viwanja vinakuwa for mazoezi na pre season na sio kuchezea match
 
sawa kabisa. hapo nimekupata. Inaweza kuwa investment zuri. Shida je TFF and other mamlaka za mipira watakupa mechi za kuchezea huko? Roho mbaya na politics za fitina kwa waafrika, ngozi nyeusi.
kama una vigezo una ruhusiwa TU huu uwanja WA karatu ni pitch TU. SI majukwaa pia muheshimiwa karia NDO aliufungua kipindi hicho nakumbuka SANA

Kwishaaaaaa
 
Wazo zuri nafikiri huo uwanja Kama ulivyosema unatumika kwa mambo mawili mazoezi ya timu na pre season.
Ndio lakini nmeshangaa huu WA karatu kapewa ku host cecafa HAPO NDO nikashtuka. Kumbe Kuna vimashindano vidogo UNAWEZA pewa. HIYO ni PESA JAMAA anavuta SASA. Alafu huu uwanja pia uli host cecafa under twenty juzi TU. HAPO kama Kuna mahoteli we ni full house booked unapiga PESA TU.

Kwishaaa
 
Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana USHAURI.

Tetesi Zina dai ni kijana TU SI mzee Wala bilionea mkubwa nchini nikashtuka. Wengine wakadai ni kampuni ya black rhino holding ILA mmiliki wake ni kijana TU alichungulia fursa akawekeza. Samahani kama tapotosha nirekebishwe inasemekana anaitwa Nickson Maliki.

Tuachane na hayo hayatuusu. Lengo LANGU NILITAKA kutoa USHAURI JUU ya fursa ya michezo hususabi mpira WA miguu kwa SASA. Dunia inakumbwa na machafuko pia nchi yetu inazidi kuandaa michuano MBALIMBALI nchini, nikajiuliza JE matajiri wetu WAMESHA ona fursa HII.

SABABU ya TIMU ya Kenya kususa cecafa inasemekana miundo mbinu ya uwanja waliopewa kuifanyia mazoezi HAkUA na ubora wakapata shaka KUHUSU afya ya wachezaji WAO. Pia hoteli waliopewa haikuwaridhisha, wakajitoa kushiriki michuano hiyo. KUMBUKA afcon itafanyika hapohapo ARUSHA JE tumejifunza JAMBO?.

Niwakati SASA wamiliki WA hoteli MBALIMBALI nchini hususani mikoa yenye miundo mbinu ya kimchezo kutenga eneo la uwanja WA mpira WA miguu. Namanisha ujenzi WA hoteli uendane na uwanja WA mpira WA miguu kwa ajili ya kuzivuta TIMU MBALIMBALI nchini KWENYE pre season au michuano MBALIMBALI kama kijana kama HUYU kaweza na amini wengine pia wataweza.

TIMU zitashawishika kufikia KWENYE hoteli yAKO kutokana na kujitosheleza kwa mahitaji Yao. TIMU ka al hilal ilitaka kushiriki ligi ya tanzania tukaikataza, nilishangazwa sanaa alafu tumekomaa ETI kupromoti utalii SASA watalii wanakuja mnawakata TENA unazani al hilal angetuachia shingapi kwa msimu MZIMA?.

Ni mawazo YANGU TU WAKUU na amini Kuna WATU wana mawazo Bora watakuja kuongezea na WAO.

Kwishaaaaa
Al hilal hakukatazwa kushiriki ligi yetu tena TFF ndio waliwaalika ila wao ofa ya mauritania iliwavutia
 
Ndio lakini nmeshangaa huu WA karatu kapewa ku host cecafa HAPO NDO nikashtuka. Kumbe Kuna vimashindano vidogo UNAWEZA pewa. HIYO ni PESA JAMAA anavuta SASA. Alafu huu uwanja pia uli host cecafa under twenty juzi TU. HAPO kama Kuna mahoteli we ni full house booked unapiga PESA TU.

Kwishaaa

Mimi nimekuelewa .

Katika biashara unaweza kutumia biashara moja ili kuikuza biashara nyingine .

Ikiwa uwanja wake upo na vigezo vyote muhimu the guy atapiga Sana hela hiyo 2027.
 
NO NAKATAAAAAAAA. FUATILIA VIZURIII. WALIAMBIWA POINT ZAO HAZITO HESABIWA HIYO NI BIASHARA KICHAA HATA MIMI NISINGE KUBALIIII

kwishaaaaaa
 
TFF WALIWAMBIA KUTO HESABU POINTI UNASEMAJE TFF HAWAKUKATA . AKUFUKUZAE HAKWAMBII TOKA KUKATA KUWAHESABIA POINT NI KUWAFUKUZA HIYO NI BIASHARA KICHAA NA KUPOTEZA MUDA

kwishaaaaaa
 
Mimi nimekuelewa .

Katika biashara unaweza kutumia biashara moja ili kuikuza biashara nyingine .

Ikiwa uwanja wake upo na vigezo vyote muhimu the guy atapiga Sana hela hiyo 2027.
Kama ana akili BIASHARA ya uwanja WA mpira SIKU HIZI una KAZI nyingi. Wasanii WA ulaya na marekani hupiga show KWENYE VIWANJA vikubwa. Real Madrid hukodisha uwanja WAO kwa shughuli za harusi. Mambo ya shughuli za kitaifa Kama mei Mosi. SIJUI mwenge we ni kupiga tu PESA WATU hawaja shituka toa offa KWENYE umiseta TIMU za ligi kuu kutumia kwa mazoezi na kambi kama singifa big star alishaweka kambi HAPO KWENYE huo uwanja karatu

Unaweza ukaandika business proposal kwakutumia SWOT

Ukawapelekea wakwekezaji ambao wana hela then wewe ukaifaidika na kupewa asilimia Fulani ya wazo lako.
 
Hili ni bonge la wazo.
Unatafuta eneo huko nje ya mji, anajenga pitch safiii, unaweka hosteli facility za uhakika, hii ni lazima itakuwa booked na hizi events...
1. Pre season camp kwa vilabu mbalimbali.
2. Pre tornament camp kwa timu za taifa.
3. Institute competitions.
4. Mashindano mbalimbali.
 
Dawa ni kunua eneo kubwa nje ya mji, jenga uwanja wako, hotel, lodge, na G. House, hii simba wakishinda huwa wanasherehekea kwa kuto..mbana sana hivyo mpira ukiisha geat zako zinajaa upesi😂
 
Kwa Tz ilivyokuwa kubwa na nzuri, ingepaswa kila mkoa at least kuwe kuna facility moja ya namna hiyo.
Sijui tunakwama wapi?
Serikali imelala kuamsha huo uwekezaji.
TFF ndio kabisa, wapo kama hawapo.
 
Back
Top Bottom