Jeneza la Mzee Ojwang

Jeneza la Mzee Ojwang

Published on Jul 14, 2015
Marehemu Benson Wanjau almaarufu Mzee Ojwang atazikwa katika makaburi ya Lang'ata, licha ya kwamba tarehe ya mazishi bado haijatangazwa. Haya ni kwa mujibu wa kamati iliyoundwa kupanga mazishi ya muigizaji huyo hodari, aliyeaga dunia Jumapili usiku hospitalini Kenyatta. Familia yake imesema kwamba Mzee Ojwang ndiye aliyechagua eneo atakalozikwa na hivyo basi hawana budi ila kutii mapenzi yake.

  • [h=4]Category[/h]
  • [h=4]License[/h]
    • Standard YouTube License
 
Mie ata siamini kama ni geneza kweli...
Nani ana picha nyingine tofauti na hiyo? Anitumie

Published on Jul 14, 2015
Marehemu Benson Wanjau almaarufu Mzee Ojwang atazikwa katika makaburi ya Lang'ata, licha ya kwamba tarehe ya mazishi bado haijatangazwa. Haya ni kwa mujibu wa kamati iliyoundwa kupanga mazishi ya muigizaji huyo hodari, aliyeaga dunia Jumapili usiku hospitalini Kenyatta. Familia yake imesema kwamba Mzee Ojwang ndiye aliyechagua eneo atakalozikwa na hivyo basi hawana budi ila kutii mapenzi yake.

  • [h=4]Category[/h]
  • [h=4]License[/h]
    • Standard YouTube License
 
Jamani tunamkufuru M/Mungu. Kwenye ugonjwa mlikuwa wapi??? Kweli jeneza MPAKA sim tank?
 
hiyo picha ni Ghana, kwao hii kitu kawaida... kunamajeneza hadi RangeRover...huyo jamaa alikuwa mchora ramani za majengo...mavazi yao meusi ..yanaonekana..
 
Muda ukifika hata maiti alazwe juu ya jeneza la dhahabu haitasaidia kitu ameondoka tu ni yeye na mola wake wanapeana mrejesho.
 
Back
Top Bottom