Jenerali Venance Mabeyo miongoni mwa Wazalendo wachache kuwahi kutokea jeshini

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,962
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
 
mabeyo-pic-data.jpg
 
Tuna
Huo uzalendo unaupimaje ? Ni hiyo CV au.. mbona hao ndo wapigaji wakubwa wa pesa za umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuchafua viongozi. Una ushahidi?
 
Huyu mwamba he deserves more respect. Jamaa ni very serious, smart & hamble. Hapendi ujinga hata kidogo, kuna watu ukinusa damu zao utaskia ka harufu ka uzalendo wa kweli. Kama mwamba asingekuwa serious na taifa, yule bb yetu angekuwa katukarakasha vibaya mno. Pongezi kwa mwamba huyu!
 
Hujaweka vigezo ulivyotumia kumuhesabu kama mmojawapo wa wazalendo wa WACHACHE kuwahi kutokea jeshini!
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Mleta Uzi ,sema ana CV nyingi hasa kozi alizohudhulia ukisema uzalendo unafeli Kwa asilimia zero labda haujui maana ya uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia hafla ya kuwatunuku maofisa wa jeshi nishani za miaka 60 ya Uhuru muda mchache uliopita hapo Ikulu nimebaini Jenerali Venance Mabeyo ni mmoja wa wazalendo wa kweli kuwahi kutokea jeshini na serikalini kwa ujumla.

Jenerali Mabeyo amezaliwa Julai Mosi mwaka 1955 huko wilayani Magu na kwasasa ana miaka 65 na bado anaendelea kuliongoza jeshi vizuri!!

Amelitumikia JWTZ kwa miaka 41 sasa katika nafasi mbalimbali ikiwemo Mkuu wa Ujasusi jeshini pamoja na Mnadhimu Mkuu kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkuu wa Majeshi mwaka 2017! Itoshe kusema tu Jenerali Mabeyo ana CV kubwa jeshini na mzalendo kwelikweli
Kwa lipi sasa? Mbona unaandika vitu shallow Sana!
 
Back
Top Bottom