Jenerali Ulimwengu: Kauli za Corona zilizotolewa na Rais Magufuli ni porojo zisizokuwa na mantiki au za kufurahisha umati tu

Na watu wenye imani hewa ni wa kupuuzwa tu
Hilo sasa tumwachie Mungu mwenyewe ndiyo anayejua yupi mwenye imani halisi na yupi mwenye imani hewa. Wewe ukijiingiza katika hilo utakosea, rohoni kwa mtu wakati mwingine ni kama mbinguni, mwanadamu huwezi kupaona kwa kutumia macho ya nyama!
 
Tunaona matendo mkuu, na tunaishi nao mtaani kiufupi wengi ni imani hewa tu.
 
Kwahiyo wewe ndiye msemaji wa Mungu ?

Wonders shall never ends

Sent using Jamii Forums mobile app
Wonders shall never end
Hapana, mimi siyo msemaji wa Mungu isipokuwa Mungu anavyo vitabu vyake vinavyoitwa Maandiko Matakatifu. Nilishawahi kusoma kwenye maandiko hayo na kukuta anasema hivyo! Labda kama wewe una ushahidi wa kutumia Maandiko Matakatifu mengine yanayokinzana na nilichosema, basi ni nafasi yako kutuletea ushahidi. Wewe ni muumini wa dini?
 
Mungu hajawahi kuandika kitabu wala kumtuma mtu aandike.
 
Tunaona matendo mkuu, na tunaishi nao mtaani kiufupi wengi ni imani hewa tu.
Kama Mungu amebahatika kukufunulia hivyo, ni wazi kuwa anakupenda mno kiasi kwamba anakuonyesha namna ambavyo wewe unatakiwa uenende. Kwa hiyo anataka wewe ufanye opposite ya yale wanayofanya wao, ukizingatia kuwa wewe utakuja kuwa na adhabu kubwa zaidi kuliko wao, kama na wewe utafuata mwenendo wao wakati Mungu amekufunulia kuwa hutakiwi kuenenda kama wao!
 
Mkuu nisije kukukwaza katika imani, mimi siamini chochote katika hayo na siko miongoni mwa wanaomsumbua Mungu kwa maombi yasiyoisha. Nadhani ni vizuri kuamini unachoamini kwani imani huleta faraja na amani ya moyo.
 
Kuna wazee wengi enzi zile walionekana wana akili saana.
Awamu ya tano ndo tumejua kumbe walikuwa matapeli tu.
Hivi kwani data zipi sio za kutiliwa shaka, Za Museveni? za Kenyata? au za Kagame ndo ziko sawa?
Mbona hata Trump mwenyewe haziamini data za Marekani wala za China?
In short data zote za corona duniani kwa wenye akili tunajua ni za kutiliwa shaka saana! Na mtu wa kwanza kuzitilia shaka alikuwa JPM (Historia imesharecord) angekuwa anaziamini angepeleka sample za Mbuzi na Papai?
Binafsi naona ni upuuzi hata kuendelea kutangaza data kwa sababu kwa vigezo vyote vya kisayansi ni za uongo.
Iwapo 90% za madereva ambao hawaumwi chochote wametest positive huko mpakani kuna mwenye akili timamu bado anaziamini data wanazohangaika kuzitangaza kwenye ma TV?
Bab kubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani mkuu umeambiwa wakenya na waganda hawaombi
Wanaweza hata kuwa pengine wanaomba sana, pengine kutuzidi hata sisi. Tofauti iliyopo kati yao na sisi ni kwamba sisi mkuu wetu wa Nchi alitamka kwa maneno kuwa kuhusiana na janga hili kwa sababu halina dawa,yeye Nchi anamkabidhi Mungu wakati huo akiwaasa wa-Tanzania kumuomba Mungu kila mmoja kwa imani yake, pamoja na kuchukua tahadhari zinazotolewa na wataaluma wa afya, wa ndani na nje ya Nchi. Kwa hiyo tofauti iliyopo kati yao na sisi ni hiyo tu.
 
Endelea kunawa na kujisanitize mkuu
 
We have 3 types of people here and elsewhere :intelligent,mediocre and imbeciles.Intelligent people doubt,mediocres remain in mediocrity and imbeciles accept everything.Which side are you?
 
Back
Top Bottom