Jenerali Ulimwengu amuombe msamaha Spika Ndugai kwani hakuna aliyewahi kushindana naye na kushinda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

cc: Pascal Mayalla
 
Jenerali amefanyaje?
 
Back
Top Bottom