Jenerali Ulimwengu amuombe msamaha Spika Ndugai kwani hakuna aliyewahi kushindana naye na kushinda

Ndugai anapenda kusujudiwa kama alivyokuw marehemu kakake, afu tatizo lake hana uwezo wa kujibu hoja - yeye anachoweza ni kutishia kuwapeleka watu Bungeni kwa pingu.

We mzee kaa mbali na general....mziki mwingime huo...
 
A
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

cc: Pascal Mayalla
Acha kushauri mambo ya hovyoj
 
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

cc: Pascal Mayalla

Hakuna kuomba msamaha. Huyu Jobo hawezi kulazimisha taasisi yake iheshimiwe kwa kutumia vitisho. Afanye kazi kubwa kulipa hadhi Bunge lake liheshimike ili liwe kweli ni mhimili huru wa dola.
 
Msamaha wa nini tena?. Spika amesema anatoa onyo asiendelee

Mbona Mayalla hakumpa onyo.? Anaogopa musiki wa Jenerali kwani kama nilivyosema JENERALI TWAHA ULIMWENGU IS AN INSTITUTION!! Ndugai anamfahamu kama mwandishi Nguli lakini hamjui kwa sifa zake nyingine za liberation struggle na pia kuwa ni Advocate of the High Court of Tanzania!!
Leo hii Jenerali anaweza kwenda Uganda na kuonana na Yoweri Kaguta Museveni bila shida na Msumbiji hivyo hivyo wakina Joackim Chissano wanamtambua kwa mchango wake barani Afrika!! Huyu ANDUCHE wa Bunge la mazuzu anaweza kuwa na fursa hizo?
 
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Pia soma > Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

cc: Pascal Mayalla
Wakuangukiwa ni MUNGU Pekee na sio Binadamu Alichokisema Mzee Ulimwengu yupo Sahihi Spika kuwapa Ubunge Wasio na Vyama ni kutukosea Wanatanzania kwa kukiuka Katiba na KUSABABISHA Kodi za Wananchi kupotea mbona nae Hajatuangukia?
 
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Pia soma > Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

cc: Pascal Mayalla
Kama alishindwa Mwendazake ataweza huyo kibushuti? Acheni masihara nyie MATAGA.
 
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Pia soma > Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

cc: Pascal Mayalla
Wacha uzuzu wako wa lumumba.

Unamlinganisha mzee Ulimwengu na hugo mgogo?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwa ujumla Jenerali ni mtu anaetafuta pa kufia.
Hili kundi la utatu Fatma karume, Maria Sarungi na Jenerali ulimwengu ni provocatives!
Ni sawa na mgonjwa anaetafuta pa kufia.
 
Spika mjinga anapotumia vitisho kupambana na ukweli. Huyu atatamba muda mfupi sana kwasababu ana jeuri ya madaraka, lakini akitoka madarakani atapata msongo wa mawazo kwa jinsi ukweli wake utakavyowekwa hadharani.
Msikilize na mwenzake Kessy wanavyo ropoka kwa kumpamba Mungu wao
 
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Pia soma > Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

cc: Pascal Mayalla
YAANI SI ITAKUWA LAANA...YAANI ULIMWENGU AMWANGUKIE KICHWA MTINDIO...KIBUSHUTI
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Pia soma > Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

cc: Pascal Mayalla
Upuuzi. Ninani wakusujuduwa zaidi ya Mwenyezimungu. Hivi unamshauri amsujudie Ndungai. Ushindwe.
 
Mifano ni mingi tu ya akina Assad, Slaa Jerry, askofu Gwajima nk...nk na sasa wako kimya kabisa.

Waswahili husema Heri nusu shari kuliko shari kamili.

Mzee Ulimwengu mwangukie tu Spika Ndugai ili yaishe.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Pia soma > Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

cc: Pascal Mayalla
Wewe na Ndungai wako MOLA awalaani. Unamlinganisha MTU na Mungu. Allah akulaani wewe na kizazi chako
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom