ma kitu gani hayo ?
kuomba au ?
Namkubali sana Banza Stone. Hiyo hali anayopitia sasa inaniumiza sana.
Aliyewaambieni Kuwa Banza Stone Anasumbuliwa Na Unga Ni Nani? Watanzania Kwanini Mnapenda Sana Kufichaficha Mambo? Ndiyo Maana Tunapukutika Kila Kukicha!
sio peke yako tuu, inatuumiza wengi sana.
mjinga hupenda majivunoo o o
hupenda majisifu huu
asichokijua kujifanya anajua
mazuri ya kwaakeee mabaya ya wenzake enhee
anaweza akatelekeza miiko na maadili ya jamii
hiii yooteee
majungu si mtaji useme ukatajirike
majungu si biashara sema uuze ufanikiwe
ukiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujingaaa
nyimbo pekee ya dansi inayoexist kwenye simu yangu
Kumbe Jenerali anasumbuliwa na nini?
Mkuu tufungua bendi yetu wewe uimbe mimi nipokee pesa
mi nadhani sio uteja peke yake nina shaka na kale kaugonjwa ka mujini..
Haudhani nini sasa? Huo ndio ukweli, hutaki acha.Cdhani!!!!
Aliyewaambieni Kuwa Banza Stone Anasumbuliwa Na Unga Ni Nani? Watanzania Kwanini Mnapenda Sana Kufichaficha Mambo? Ndiyo Maana Tunapukutika Kila Kukicha!
Ngada kweli noma, Banza Stone mpaka kafanana na Dogo Mfaume. Soon utasikia kafa ghafla.