Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 6, 2013 #1 Walimu 3 na mwananchi +mmoja wahukumiwa jana na mahakama wilayani Mpanda kwa kuiibia shule ya msingi Tukoma Sh 21m. Watiwa hatiani kwa makosa 68.
Walimu 3 na mwananchi +mmoja wahukumiwa jana na mahakama wilayani Mpanda kwa kuiibia shule ya msingi Tukoma Sh 21m. Watiwa hatiani kwa makosa 68.
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,143 16,215 Dec 6, 2013 #2 Ni vidagaa tu wanaohukumiwa hivi
Sanoyet JF-Expert Member Apr 3, 2013 1,323 290 Dec 6, 2013 #3 Kibo10 said: Walimu 3 na mwananchi +mmoja wahukumiwa jana na mahakama wilayani Mpanda kwa kuiibia shule ya msingi Tukoma Sh 21m. Watiwa hatiani kwa makosa 68. Click to expand... Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa!
Kibo10 said: Walimu 3 na mwananchi +mmoja wahukumiwa jana na mahakama wilayani Mpanda kwa kuiibia shule ya msingi Tukoma Sh 21m. Watiwa hatiani kwa makosa 68. Click to expand... Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa!
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 6, 2013 Thread starter #4 Sanoyet said: Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa! Click to expand... Picha za wafungwa au?
Sanoyet said: Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa! Click to expand... Picha za wafungwa au?
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 6, 2013 Thread starter #5 Sanoyet said: Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa! Click to expand...
Sanoyet said: Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa! Click to expand...
Sanoyet JF-Expert Member Apr 3, 2013 1,323 290 Dec 6, 2013 #6 Kibo10 said: Picha za wafungwa au? Click to expand... watuhumiwa
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,475 Dec 6, 2013 #7 miaka hiyo yote ya pamoja au kila mtu mmoja kala yote hiyo?
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 6, 2013 Thread starter #8 kabanga said: miaka hiyo yote ya pamoja au kila mtu mmoja kala yote hiyo? Click to expand... Hiyo ni kwa pamoja wote
kabanga said: miaka hiyo yote ya pamoja au kila mtu mmoja kala yote hiyo? Click to expand... Hiyo ni kwa pamoja wote