Jela miaka 579

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,837
Walimu 3 na mwananchi +mmoja wahukumiwa jana na mahakama wilayani Mpanda kwa kuiibia shule ya msingi Tukoma Sh 21m. Watiwa hatiani kwa makosa 68.
 
Lete habari ikiwa full-detailed plus picha kabla hawajaja wenyewe jukwaa!
 
ImageUploadedByJamiiForums1386338699.619377.jpg
 
miaka hiyo yote ya pamoja au kila mtu mmoja kala yote hiyo?
 
Back
Top Bottom