Jeffery Samson Mkuki: Msomi wa Chuo Kikuu anayehangaika kijijini bila ajira

Hahah..
 
Huyo jamaa kama kweli kasoma chuo hakuelimika
Anashindwa hata kulima alizeti eka mbili akapata japo mtaji?
Chadema mchukueni huyo awe mgombea badala ya lissu
umeonaaaa heee!!! huyu kwa kweli elimu haijamkomboa kabisa!!! hata aliyepost pia ni mpumbavu kabisa... sasa anapost ili watu wamsaidie mtu ambaye ana elimu ya kutosha?? kama angekuwa labda ni mwanamke labda tungemuonea huruma... sasa kijeba kimekomaa sura kama jiwe leo hii mtu analeta post ya kuoba help ili adaidiwe kweli???
 
Kosa lako mama Ndalichako,kuwapa elimu isiyowasaidia wahitimu...😥😥😥😥😥
heri yake yuko uraiani wapo vijana waliozombwa na jkt kwa mujibu wa sheria toka 2013,2014,2015,2016 umri wao unazidi kwenda wapo tuu,nguvu kubwa imetaifishwa lengo lao halielweki kama serikali,wengi wameanza kuvuta bangi na kunywa pombe haramu wamekata tamaa
 
He is a confused Engineer(BSC in Telecom Engineering) ajira zipo wazi kabisa .Ameamua mwenyewe awe hivyo alivyo.
 


Hii ndiyo shida kubwa ya wasomi wetu.
Kuwaza kuajiriwa badala ya kuwaza kufumbua ajira.
Yuko Kijijini ana Laptop eti kwa Kazi zake alafu unamwona kama mtu asiye na fursa?
Anafursa nyingi .
Hapo kijijini hakuna shule ili awafundishe kwa gharama za ziada watoto?
Kwa utaalamu wake IT hawezi kutafuta kazi za Online huku anafanyia akiwa huko kijijini/
Mtaalamu wa IT hawezi kufungua Centre ya Repair hata ya simu kama njia ya ziada ya kipata?
nk
 
Duuh...weka na maksi basi....tujue ngapi chini ya ngapi??
 
Anasema alipata ajira kwanini hakuwachukua hao ndugu zake akaishi nao huko alikopata ajira?Haiingii akili kuwa aliacha ajira ili aje kijijini aishi na ndugu zake au alifukuzwa kazi?Pia kama anauwezo wa kufundisha kwanini anaamua kuacha kufundisha na kuuza mkaa? Nadhani huyo kijana ana shida fulani.
 
mkuu umeshavuka mto? Au unatukana tuu mamba?,wasomi wengi hawana dira ,mfumo wetu wa elimu ni tatizo kubwa sana,yawezekana alipata mtaji ukaishia kwenye nauli na gharama za interviews,wazo la kwanza ukihitimu unaamini kuna ajira ,interview kibao...cha msingi elimu yetu ifate falsafa ya mwalimu nyerere ya self-reliance and liberation,mwanafunzi awe na kofia mbili ya elimu na yakujitegemea ,wapo walioajiriwa hawawezi kusaidia hata ndugu ,elimu yetu ndio kikwazo,title kubwa ya course ila elimu sifuri
 
Maisha Bwana Nakumbuka Nilivyomaliza darasa la saba na kupata kipaimara,Nilikabidhiwa debe la mbege, baiskeli na toolbox yenye spana kama tano hivi na mshua....Majibu ya second selection yanatoka kuingia form 1..mimi nishajua kishusha gearbox ya scania...nalipa kodi ya chumba na nina demu ndani....Wenzangu wanamaliza form 4 nishakimbia Tanzania Zamani sanaaaa
 
Yawezekana elimu yake haijatanua ubongo kwa ajili ya maarifa ya kujitegemea,sie wengine tuna videgree vya hukohuko udom lkn niko banyibanyi huku nalima tikiti mambo c mabaya,mwambie jeffrey aendelee kupumzika hapohapo nyumbani atapata tu ajira kama si duniani basi hata mbinguni.
 
Kea wenzetu waingereza ukimaliza kidato cha bne tu ..elimu inakutosha kubuni na kuendesha maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…