Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Wote mkuu...ndani ya Nchi..Mwanafunzi wa UDSM apitie VETA napo
Ova

Hahah..sina shaka ana elimu ya darasani . kasoma. lakini kuna sehemu ama kipengele bado. kwa msomi ni kutumia elimu uliyoipata ili uishi. ana utalaam kwa mawsiliano tayari mtaji! hapo naweza sema kuna mkono wa shetani/ pepo kwanza aanzie kanisani aombe sana mungu amfungue ufahamu!! haupo hapo!
umeonaaaa heee!!! huyu kwa kweli elimu haijamkomboa kabisa!!! hata aliyepost pia ni mpumbavu kabisa... sasa anapost ili watu wamsaidie mtu ambaye ana elimu ya kutosha?? kama angekuwa labda ni mwanamke labda tungemuonea huruma... sasa kijeba kimekomaa sura kama jiwe leo hii mtu analeta post ya kuoba help ili adaidiwe kweli???Huyo jamaa kama kweli kasoma chuo hakuelimika
Anashindwa hata kulima alizeti eka mbili akapata japo mtaji?
Chadema mchukueni huyo awe mgombea badala ya lissu
heri yake yuko uraiani wapo vijana waliozombwa na jkt kwa mujibu wa sheria toka 2013,2014,2015,2016 umri wao unazidi kwenda wapo tuu,nguvu kubwa imetaifishwa lengo lao halielweki kama serikali,wengi wameanza kuvuta bangi na kunywa pombe haramu wamekata tamaaKosa lako mama Ndalichako,kuwapa elimu isiyowasaidia wahitimu...😥😥😥😥😥
Kijana Jeofrey Mkuki aliwahi kufundisha kama Mwalimu wa kujitolea wa Masomo ya Sayansi kama vile Basic Mathematics na Physics katika Shule ya Sekondari Senge maarufu kama Chifu-Senge iliyopo Singida Mjini Mkoani Singida. Nilipomuuliza kwa nini asiendelee kufundisha, Jeofrey alisema ni Maisha tu yamemvurugia mambo yake na akafikia hatua hii ingawa bado ana wazo la aina hiyo.
Aidha, Jeofrey Mkuki pia ni Mtaalam mzuri wa Computer na wakati nafika Kijijini kwao anakoishi huko Mkoani Singida, nimemkuta akiwa na Computer yake aina ya Laptop HP anayotumia kwa ajili ya Shughuli zake za binafsi.
Kwa Mawasiliano zaidi na Jeofrey Mkuki wa Singida unaweza kupiga Simu yake ya Mkononi 0746440462 au Email: mkukijs@gmail.com
Au unaweza kuwasiliana na Diwani wa Kata yake ya Mkiwa Mhe.John Siuhi 0745865904.
Francis M. Garatwa,
Kiongozi wa Oparesheni ya Chama,
Jimbo la Singida Mashariki.
Ikungi, Singida - Tanzania.
12 June, 2019.
Duuh...weka na maksi basi....tujue ngapi chini ya ngapi??Hizo "ga" kwenye hayo Maneno alikufundisha nani?
Hizo nukta nne kati ya neno "natafakari" na "unasemaga" alikufundisha nani?
Kama hujafundishwa na yeyote na Mwalim na wazazi wako walikuwa wanaona kawaida tu ukifanya hivyo basi elewa kuwa walikuwa wanakufundisha ujinga.
Anasema alipata ajira kwanini hakuwachukua hao ndugu zake akaishi nao huko alikopata ajira?Haiingii akili kuwa aliacha ajira ili aje kijijini aishi na ndugu zake au alifukuzwa kazi?Pia kama anauwezo wa kufundisha kwanini anaamua kuacha kufundisha na kuuza mkaa? Nadhani huyo kijana ana shida fulani.JEOFREY SAMSON MKUKI KIJANA "MSOMI" WA CHUO KIKUU CHA DODOMA ANAYEHANGAIKA KIJIJINI BILA AJIRA.
Alihitimu Elimu ya Chuo Kikuu (University Of Dodoma) Mwaka 2013 kisha akaelekea zake Dar Es Salaam kujitafutia Riziki na baadae akaamua kurudi Kijijini kwao alikozaliwa. Kule UDOM, Jeofrey alisomea (BSc.Telecommunications Engineering) na Vyeti vyake vyote kuanzia Kidato cha Nne hadi Chuo Kikuu anavyo huku Kijijini.
Kijana mwenzetu Jeofrey Samson Mkuki ni Mkazi wa Kitongoji cha Imiga, Kijiji cha Mkiwa, Kata ya Mkiwa, Wilaya ya Ikungi huko Mkoani Singida. Jeofrey Mkuki ni Yatima asiye na Wazazi wake wote wawili maana walishatangulia mbele za haki.
Wakati nafika Eneo anakoishi Jeofrey Mkuki huko Mkoani Singida, niliambatana na Diwani wa Kata yake ya Mkiwa Mhe.John Siuhi anayeonekana Pichani upande wa kulia. Huko Kijijini, Jeofrey anaishi na Wadogo zake wawili ambao wanamtegemea na anajishughulisha na Vibarua vidogo vidogo ikiwemo kupakia Mizigo kwenye Magari na kuuza Mkaa karibu na Barabara Kuu ya Mwanza to Dar Es Salaam.
Kijana Jeofrey Mkuki ni Mtu mwenye Akili zake timamu na kwa mujibu wa Majirani zake na Viongozi wa Serikali wa Eneo anakoishi akiwemo Mheshimiwa Diwani wa Kata hiyo niliyeambata naye, wanadai hajawahi kupatwa na tatizo lolote la Kiafya, ingawa ukiutazama muonekano wake unaweza usiamini kama ni Kijana mwenye Elimu ya kiwango cha juu kiasi hiki.
Kwa mujibu wa maelezo yake yeye mwenyewe, Jeofrey anasema, "niliamua kurudi huku Kijijini kwa sababu, wadogo zangu hawa bado ni wadogo na kama unavyoona Wazazi wote hawapo, iliniuma sana nikaamua nirudi huku. Huko Mijini nilipata Ajira kwenye Mashirika ya Mambo ya Mawasiliano na nilikuwa nazunguka Mikoani, lakini kutokana na hii familia unayoiona, ndio hivyo tena Mheshimiwa, lakini natamani Siku moja niwe tofauti na hivi niliyake. Alieleza Mkuki.
Kijana Jeofrey Mkuki aliwahi kufundisha kama Mwalimu wa kujitolea wa Masomo ya Sayansi kama vile Basic Mathematics na Physics katika Shule ya Sekondari Senge maarufu kama Chifu-Senge iliyopo Singida Mjini Mkoani Singida. Nilipomuuliza kwa nini asiendelee kufundisha, Jeofrey alisema ni Maisha tu yamemvurugia mambo yake na akafikia hatua hii ingawa bado ana wazo la aina hiyo.
Aidha, Jeofrey Mkuki pia ni Mtaalam mzuri wa Computer na wakati nafika Kijijini kwao anakoishi huko Mkoani Singida, nimemkuta akiwa na Computer yake aina ya Laptop HP anayotumia kwa ajili ya Shughuli zake za binafsi.
Kwa Mawasiliano zaidi na Jeofrey Mkuki wa Singida unaweza kupiga Simu yake ya Mkononi 0746440462 au Email: mkukijs@gmail.com
Au unaweza kuwasiliana na Diwani wa Kata yake ya Mkiwa Mhe.John Siuhi 0745865904.
Francis M. Garatwa,
Kiongozi wa Oparesheni ya Chama,
Jimbo la Singida Mashariki.
Ikungi, Singida - Tanzania.
12 June, 2019.
View attachment 1125671
View attachment 1125673
View attachment 1125675
mkuu umeshavuka mto? Au unatukana tuu mamba?,wasomi wengi hawana dira ,mfumo wetu wa elimu ni tatizo kubwa sana,yawezekana alipata mtaji ukaishia kwenye nauli na gharama za interviews,wazo la kwanza ukihitimu unaamini kuna ajira ,interview kibao...cha msingi elimu yetu ifate falsafa ya mwalimu nyerere ya self-reliance and liberation,mwanafunzi awe na kofia mbili ya elimu na yakujitegemea ,wapo walioajiriwa hawawezi kusaidia hata ndugu ,elimu yetu ndio kikwazo,title kubwa ya course ila elimu sifuriumeonaaaa heee!!! huyu kwa kweli elimu haijamkomboa kabisa!!! hata aliyepost pia ni mpumbavu kabisa... sasa anapost ili watu wamsaidie mtu ambaye ana elimu ya kutosha?? kama angekuwa labda ni mwanamke labda tungemuonea huruma... sasa kijeba kimekomaa sura kama jiwe leo hii mtu analeta post ya kuoba help ili adaidiwe kweli???
IpiElimu ya kusomea ujinga.
elimu ya degree ni kubwa sana ila kama ukiamini kwenye ajira unaishia hapo alipo huyuKosa lako mama Ndalichako,kuwapa elimu isiyowasaidia wahitimu...😥😥😥😥😥
Yawezekana elimu yake haijatanua ubongo kwa ajili ya maarifa ya kujitegemea,sie wengine tuna videgree vya hukohuko udom lkn niko banyibanyi huku nalima tikiti mambo c mabaya,mwambie jeffrey aendelee kupumzika hapohapo nyumbani atapata tu ajira kama si duniani basi hata mbinguni.JEOFREY SAMSON MKUKI KIJANA "MSOMI" WA CHUO KIKUU CHA DODOMA ANAYEHANGAIKA KIJIJINI BILA AJIRA.
Alihitimu Elimu ya Chuo Kikuu (University Of Dodoma) Mwaka 2013 kisha akaelekea zake Dar Es Salaam kujitafutia Riziki na baadae akaamua kurudi Kijijini kwao alikozaliwa. Kule UDOM, Jeofrey alisomea (BSc.Telecommunications Engineering) na Vyeti vyake vyote kuanzia Kidato cha Nne hadi Chuo Kikuu anavyo huku Kijijini.
Kijana mwenzetu Jeofrey Samson Mkuki ni Mkazi wa Kitongoji cha Imiga, Kijiji cha Mkiwa, Kata ya Mkiwa, Wilaya ya Ikungi huko Mkoani Singida. Jeofrey Mkuki ni Yatima asiye na Wazazi wake wote wawili maana walishatangulia mbele za haki.
Wakati nafika Eneo anakoishi Jeofrey Mkuki huko Mkoani Singida, niliambatana na Diwani wa Kata yake ya Mkiwa Mhe.John Siuhi anayeonekana Pichani upande wa kulia. Huko Kijijini, Jeofrey anaishi na Wadogo zake wawili ambao wanamtegemea na anajishughulisha na Vibarua vidogo vidogo ikiwemo kupakia Mizigo kwenye Magari na kuuza Mkaa karibu na Barabara Kuu ya Mwanza to Dar Es Salaam.
Kijana Jeofrey Mkuki ni Mtu mwenye Akili zake timamu na kwa mujibu wa Majirani zake na Viongozi wa Serikali wa Eneo anakoishi akiwemo Mheshimiwa Diwani wa Kata hiyo niliyeambata naye, wanadai hajawahi kupatwa na tatizo lolote la Kiafya, ingawa ukiutazama muonekano wake unaweza usiamini kama ni Kijana mwenye Elimu ya kiwango cha juu kiasi hiki.
Kwa mujibu wa maelezo yake yeye mwenyewe, Jeofrey anasema, "niliamua kurudi huku Kijijini kwa sababu, wadogo zangu hawa bado ni wadogo na kama unavyoona Wazazi wote hawapo, iliniuma sana nikaamua nirudi huku. Huko Mijini nilipata Ajira kwenye Mashirika ya Mambo ya Mawasiliano na nilikuwa nazunguka Mikoani, lakini kutokana na hii familia unayoiona, ndio hivyo tena Mheshimiwa, lakini natamani Siku moja niwe tofauti na hivi niliyake. Alieleza Mkuki.
Kijana Jeofrey Mkuki aliwahi kufundisha kama Mwalimu wa kujitolea wa Masomo ya Sayansi kama vile Basic Mathematics na Physics katika Shule ya Sekondari Senge maarufu kama Chifu-Senge iliyopo Singida Mjini Mkoani Singida. Nilipomuuliza kwa nini asiendelee kufundisha, Jeofrey alisema ni Maisha tu yamemvurugia mambo yake na akafikia hatua hii ingawa bado ana wazo la aina hiyo.
Aidha, Jeofrey Mkuki pia ni Mtaalam mzuri wa Computer na wakati nafika Kijijini kwao anakoishi huko Mkoani Singida, nimemkuta akiwa na Computer yake aina ya Laptop HP anayotumia kwa ajili ya Shughuli zake za binafsi.
Kwa Mawasiliano zaidi na Jeofrey Mkuki wa Singida unaweza kupiga Simu yake ya Mkononi 0746440462 au Email: mkukijs@gmail.com
Au unaweza kuwasiliana na Diwani wa Kata yake ya Mkiwa Mhe.John Siuhi 0745865904.
Francis M. Garatwa,
Kiongozi wa Oparesheni ya Chama,
Jimbo la Singida Mashariki.
Ikungi, Singida - Tanzania.
12 June, 2019.
View attachment 1125671
View attachment 1125673
View attachment 1125675
Usinichapeee mbona mimi mtiifu tuu?Afu we mtoto naona unatafuta viboko vya wazee wanankoooo
Hahahahahahha halafu kwanini wewe boss mkubwa haujawa tagged hapa?cute b unaitwa huku, uni-PM tafadhali kabla hujaenda Singida
Hhahahahahaahhahaha!Hahahahahahha halafu kwanini wewe boss mkubwa haujawa tagged hapa?
hide my ID😂 Vipi mkuu ushazama moshi?Duuuh noma sana