Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

Chadema mnafanya makosa makubwa kujifananisha na Waislam, Uislam ni imani, chama cha siasa kina wafuasi, ndani ya Waislam kuna wafuasi Chadema, CCM, TLP, CCM, NCCR Mageuzi, CUF. na Ukiristo nao ni hivyo hivyo.
 
Maandamano ya kidini hayana athari kwenye utawala lakini maandamano ya kisiasa ni sumu kwa walio madarakani; hii ndo hali halisi.
 
Wanajamvi nauliza hivi: Jee, ingekuwa ni wafuasi qwa Chadema ndiyo wamevunja uzio (ribbon) iliyowekwa na polisi pale kidongo Chekundu na kuingia uwanjani, ingekuwaje?

Jee sasa hivi Chadema si ingekuwa tayari imefutwa? Polisi lazima wangeingilia na kutmbeza virungu na risasi, watu wangekufa na kulaumiwa CDM kwa "kutotii amri halali' ya polisi.

Hivi katika mikusanyiko na maandamano ni Chadema pekee ndiyo inatakiwa kutii "amri halali' ya polisi?

Hadi lini polisi wataendelea kutiwa vidole machoni namna hii na kukaa kimya, lakini huwa tayari, hata kuleta FFU kutoka mikoa mingine, kuhakikisha CDM wanatii yao 'amri halali"?

Kuna unafiki mkubwa hapa. Kuna bvaadhi ya viongozi hao wa dini wamewahi kutoa matamko ya kuilaani CDM 'kwa kutotii amri halali ya polisi" wakati kunaibuka virugu polisi wakiingilia mikutano yao.

Wrong comparison Sir, Ungefananisha na fujo za CCM inge make sense sana.
 
kule egypt juzi kati kuna kiongozi mmoja wa dini ya kiislam alichanachana biblia na kuichoma moto,naona kuna haja ya wakristo nao kuandaa maandamano kuilaani nchi ya misri! LAKINI nasikia Mungu wanaemuabudu wakristo hana mpambe wala bodyguard wa kumlinda/kumtetea ILA huwa analipiza kisasi mwenyewe na kamwe hategemei binadamu aliyemuumba kwa udongo kumtetea au kumpigania! yaani ni sawa na mwanamke aliyejifungua mtoto mchanga ategemee kutetewa na huyo mwanae mchanga pindi akichokozwa na jirani! hapa ndipo ninapoamini kuwa IMANI TOFAUTI hutokana na kuabudu MUNGU TOFAUTI na hupelekea waumini kuwa na BUSARA/HEKIMA TOFAUTI.
 
Hii comparison ni INVALID.
Atleast mtoa mada angeuliza kama wangeandamana Wakristo au wapagani polisi wangewaachia?
Au mtoa mada anataka watu waamini kuwa Oposite ya chadema ni Uislamu?
This is wrong na ndio maana hotokuja kumsikia kiongozi yeyote wa chadema atakayelalamika kwa hilo.
Jiulize wangekuwa wameandamana CCm bila kibali kuna kiongozi wa chadema ambaye angekaa kimya hadi leo?
 
Mkuu Zak Malang kwenye red kunazua maswali mengi ya msingi, na kuinyima hoja za msingi mada yako

Je ''ulitaka Polisi watimize wajibu wao'' kwa kuwapiga?

je kutimiza wajibu wao wa kuwapiga ndio njia sahihi?

Je wanapowapiga CDM wanakuwa sahihi kwa "kutokubali kutiwa vidole machoni"?

Je malalamiko ya kulaumu Polisi "kutokubali kutiwa vidole machoni" na CDM na kuamua "kutimiza wajibu wao" ni batili? nk nk

Ningekubaliana na wewe kama ungetaka Polisi kutumia busara kukabiliana na CDM kama wanavyotumia busara hizo kukabiliana na Waislam(kwasababu ndivyo wanayotakiwa kufanya)
Lakini sikubaliani na busara zako za kutaka Polisi watumie mabavu pia kwakuwa tu wanayatumia kukabiliana na CDM(kwasababu sivyo wanatakiwa kufanya)
 
Last edited by a moderator:
Hii comparison ni INVALID.
Atleast mtoa mada angeuliza kama wangeandamana Wakristo au wapagani polisi wangewaachia?
Au mtoa mada anataka watu waamini kuwa Oposite ya chadema ni Uislamu?
This is wrong na ndio maana hotokuja kumsikia kiongozi yeyote wa chadema atakayelalamika kwa hilo.
Jiulize wangekuwa wameandamana CCm bila kibali kuna kiongozi wa chadema ambaye angekaa kimya hadi leo?

Umenishangaza sana Ndibalema na wengineo (eg. post No 24) kwamba mnashindwa kumuelewa mtoa mada. Polisi waliweka uzio pale ili waumini wa Kiisilamu wasiingie -- kwa maneno mengine kufuatana na hiyo hatua ya polisi mkusanyiko ule haukuwa halali, unless polisi hao walikuwa wanafanya dhihaka tu katika kuweka uzio!

sasa kama ni hivyo kwa nini polisi hao wasitumie nguvu za ziada kuwazuia, kama vile wanavyofanya katika mikusanyiko mingine (eg ya CDM) ambayo huiharamisha/

Kwa hoja zenu, basi ni bora polisi watangazie umma kwamba: "Jamani eeh, ni mikusanyiko ya vyama vya siasa tu (hususan CDM) ndiyo tunahakikisha wanatii amri tunaposema siyo halali, wasipotii amri ni kipigo tu. Kwa mikusanyiko mingine wanaweza kutotii amri yetu, na sisi hatutajali sana!"

Kuna watoa hoja za ajabu kabisa humu JF!
 
Sijapata picha je hao wanaogopwa, au wanakipi cha ziada waweze kuvunja sheria bila kuchukuliwa hatua wala hakuna matamko kwamba wanahatarisha amani ya wenzao wasiotaka maandamano. Naomba kueleweshwa hapa hatuangalii dini tunaangalia maandamano yasio na kibali.
 
Mkuu Zak Malang kwenye red kunazua maswali mengi ya msingi, na kuinyima hoja za msingi mada yako Je ''ulitaka Polisi watimize wajibu wao'' kwa kuwapiga? je kutimiza wajibu wao wa kuwapiga ndio njia sahihi? Je wanapowapiga CDM wanakuwa sahihi kwa "kutokubali kutiwa vidole machoni"? Je malalamiko ya kulaumu Polisi "kutokubali kutiwa vidole machoni" na CDM na kuamua "kutimiza wajibu wao" ni batili? nk nk Ningekubaliana na wewe kama ungetaka Polisi kutumia busara kukabiliana na CDM kama wanavyotumia busara hizo kukabiliana na Waislam(kwasababu ndivyo wanayotakiwa kufanya) Lakini sikubaliani na busara zako za kutaka Polisi watumie mabavu pia kwakuwa tu wanayatumia kukabiliana na CDM(kwasababu sivyo wanatakiwa kufanya)
.............Mkuu, umeandika maneno mengi sana lakini naona kama vile mtazamo wako ni sawa tu na mtazamo wa mtoa mada.
 
Last edited by a moderator:
kule egypt juzi kati kuna kiongozi mmoja wa dini ya kiislam alichanachana biblia na kuichoma moto,naona kuna haja ya wakristo nao kuandaa maandamano kuilaani nchi ya misri! LAKINI nasikia Mungu wanaemuabudu wakristo hana mpambe wala bodyguard wa kumlinda/kumtetea ILA huwa analipiza kisasi mwenyewe na kamwe hategemei binadamu aliyemuumba kwa udongo kumtetea au kumpigania! yaani ni sawa na mwanamke aliyejifungua mtoto mchanga ategemee kutetewa na huyo mwanae mchanga pindi akichokozwa na jirani! hapa ndipo ninapoamini kuwa IMANI TOFAUTI hutokana na kuabudu MUNGU TOFAUTI na hupelekea waumini kuwa na BUSARA/HEKIMA TOFAUTI.
Mkuu, nimebonyeza ''like'' mara moja nilitaka nibonyeze mara 100 lakini haiwezekani. Umeongea kitu cha msingi, sidhani kama kuna mwanadamu anayeweza kumtetea Mungu ila yeye Mungu wa kweli ndiye atawatetea wanadamu. Haitatokea mkristo aanze kuandamana kwa ajili ya upuuzi kama huo na hii inatokana na mafundisho yatolewayo kwa waumini wao. Siku zote Mungu hubaki kuwa Mungu na binadamuu hubaki kuwa binadamu, ukiona watu wanafanya vurugu au wanauwa wenzao kwaajili ya kumtetea Mungu au mtume wao basi hapo lazima kuwe na walakini juu ya huo Uungu au utume wa huyo anayesaidiwa na binadamu.
 
tusilete hoja ya dini, mtu anayezungumzia dini amefilisika sera.

Tatizo hapa sio walioandamana ni wa dini gani BALI tatizo kama tendo hilo hadi kukata uzio wa polisi lingefanywa na chadema wangebaki salama kama ilivyotokea? je wale waislamu walioandaman bila kibali kuwatoa wenzao waliokamatwa kwa kutohesabiwa polisi kwa kutowaingilia mbona hakuna wizi wala mauaji

Tafsiri nyepesi hapa ni kuwa endapo wananchi wataachiwa watimize haki yao kisheria bila kuzuiwa wala kuingiliwa na polisi kwa kupigwa mabomu na risasi hakuna mtu atakayekufa? je umeelewa usiyeelewa?
 
Umenishangaza sana Ndibalema na wengineo (eg. post No 24) kwamba mnashindwa kumuelewa mtoa mada. Polisi waliweka uzio pale ili waumini wa Kiisilamu wasiingie -- kwa maneno mengine kufuatana na hiyo hatua ya polisi mkusanyiko ule haukuwa halali, unless polisi hao walikuwa wanafanya dhihaka tu katika kuweka uzio!

sasa kama ni hivyo kwa nini polisi hao wasitumie nguvu za ziada kuwazuia, kama vile wanavyofanya katika mikusanyiko mingine (eg ya CDM) ambayo huiharamisha/

Kwa hoja zenu, basi ni bora polisi watangazie umma kwamba: "Jamani eeh, ni mikusanyiko ya vyama vya siasa tu (hususan CDM) ndiyo tunahakikisha wanatii amri tunaposema siyo halali, wasipotii amri ni kipigo tu. Kwa mikusanyiko mingine wanaweza kutotii amri yetu, na sisi hatutajali sasa!"

Kuna watoa hoja za ajabu kabisa humu JF!

Umenifurahisha sana maneno katika highlight yako. Polisi wanaonekana waziwazi ni watu wanaotumika tu kisiasa. Ni ajabu sana wao kutoa amri halafu inakukwa na wanabaki wakikenua meno!

Halafu etu huyo mkuu wao (IGP Mwema) anakazania dhana ya utii bila shuruti. Waisilamu hawakutii amri halali ya polisi na hawakufanywa kitu. kama anavosema Kafiribangi, polisi na waseme kwamba walikuwa wanafanya dhihaka kuweka ribbon.
 
Chadema mnafanya makosa makubwa kujifananisha na Waislam, Uislam ni imani, chama cha siasa kina wafuasi, ndani ya Waislam kuna wafuasi Chadema, CCM, TLP, CCM, NCCR Mageuzi, CUF. na Ukiristo nao ni hivyo hivyo.

Ok, lets assume you are right. Kwa hiyo unataka kutuambia maandamano yanayoruhusiwa ni ya kiimani peke yake bali ya vyama vya siasa ni haramu?

Ndugu zanguni hebu tuacheni unafiki; unafiki ambao hautatufikisha popote. Maandamano yoyote ni haki ya raia kikatiba iwe ni ya kiimani, kisiasa, kijamii, au vinginevyo. Yawe ni ya waislamu, wakristo, wapagani, wamasai, wachaga, wakerewe, wamakua, wakojani, n.k. Yawe ni ya CCM, CUF, ADC, au chama kingine chochote. Yawe yanafanyika kwa dakika moja, siku nzima, au hata mwaka mzima mfululizo.

Hii tabia ya serikali kuwa na double-standard katika masuala ya msingi ya kijamii italeta matatizo makubwa na yenye athari kubwa sana huko mbeleni. Kama waislamu wameruhusiwa bila masharti (in fact hakutakiwi kuwa na masharti) na wengine waruhusiwe bila masharti.

Kwa kuwa mwingine hawezi au hataki kuandamana basi isiwe sababu ya kumkataza mwingine mwenye kuhitaji kutimiza haki yake ya kikatiba.

Vinginevyo CCM kupitia serikali yake watuambie ama wanawaogopa waislamu au wanataka kuwatumia kama daraja la kisiasa au wanawapendelea.
 
Maandamano ya kidini hayana athari kwenye utawala lakini maandamano ya kisiasa ni sumu kwa walio madarakani; hii ndo hali halisi.

Unasema maandamano ya kidini hayana athari kwa utawala? Unaijua historia wewe? Unakumbuka kilichompata kipenzi cha Marekani, yule Shah wa Iran mwaka 1979? Alikimbia Ikulu yake kutokana na maandamano. Na maandamano makubwa yalikuwa yanafanywa na wanawake wakivaa mabaibui.
 
Ok, lets assume you are right. Kwa hiyo unataka kutuambia maandamano yanayoruhusiwa ni ya kiimani peke yake bali ya vyama vya siasa ni haramu?

Ndugu zanguni hebu tuacheni unafiki; unafiki ambao hautatufikisha popote. Maandamano yoyote ni haki ya raia kikatiba iwe ni ya kiimani, kisiasa, kijamii, au vinginevyo. Yawe ni ya waislamu, wakristo, wapagani, wamasai, wachaga, wakerewe, wamakua, wakojani, n.k. Yawe ni ya CCM, CUF, ADC, au chama kingine chochote. Yawe yanafanyika kwa dakika moja, siku nzima, au hata mwaka mzima mfululizo.

Hii tabia ya serikali kuwa na double-standard katika masuala ya msingi ya kijamii italeta matatizo makubwa na yenye athari kubwa sana huko mbeleni. Kama waislamu wameruhusiwa bila masharti (in fact hakutakiwi kuwa na masharti) na wengine waruhusiwe bila masharti.

Kwa kuwa mwingine hawezi au hataki kuandamana basi isiwe sababu ya kumkataza mwingine mwenye kuhitaji kutimiza haki yake ya kikatiba.

Vinginevyo CCM kupitia serikali yake watuambie ama wanawaogopa waislamu au wanataka kuwatumia kama daraja la kisiasa au wanawapendelea.

Utahangaika sana kuwaelimisha watu wa vichwa vya nazi aka magamba. Lakini kitu kimoja sasa kinaanza kujitokeza; Amani ya nchi hii itavurugwa na polisi tu + usalama wa taifa kwa vitendo vyao vya kukiuka haki. Lengo ni kukifanya CDM kionekane ni chama cha vurugu, lakini wananchi sasa wanaanza kuelewa mbinu hizo.
 
Back
Top Bottom