Jee ingekuwa ni wafuasi wa CDM wamevunja uzio (ribbon) ya Polisi pale Kidongo Chekundu?

Mkuu na vp yule Mungu aliyeuwawa msalabani na wanaadamu ambao kawaumba yy mwenyewe?
Yaani Mungu kaumba wanaadamu alafu wanaadamu wakamgeukia Mungu wao aliyewaumba wakampiga na kumuua msalabali!!!!?

Yule Mungu alijitoa kwa hiari yake ateswe, hakushurutishwa, maana alikuwa na uwezo wa kuyatoa maisha yake, na kisha kuyatwaa., na hiyo ndo sababu aliwazuia kina petro(wanadamu) wasimpiganie kwa mapanga ile siku.
Na ndiyo maana alifufuka kutoka wafu km alivyopanga na anaendelea kutawala.

Huwa napenda sana maneno ya baba'ke Gideon, pale Gideon alipovunja masanamu ya Baal, na wafuasi wake ku react, Mzee akawaambia,
Let Baal defend himself, if he is a real God.
Vivyo hivyo, ikiwa Muhamad ni Mtume, mteule wa Mungu, pale anapokejeliwa na watu, tumwache ampiganie mteule wake, maana anapendezwa nae.
Swali jingine?
 
Hii thread inaonyesha wazi kuwa chadema ni chama kisichopenda waislam, na kuwaonea wivu, eti chadema wakiandamana wanapigwa virungu, lakini waislam hawapigwi, kwa hiyo waislam wanapendelewa na chadema wanaonewa.

So: chadema ni against muslim and Govnt is pro Muslims= Chadema ni janga la taifa
 
Mkuu na vp yule Mungu aliyeuwawa msalabani na wanaadamu ambao kawaumba yy mwenyewe?
Yaani Mungu kaumba wanaadamu alafu wanaadamu wakamgeukia Mungu wao aliyewaumba wakampiga na kumuua msalabali!!!!?

Aha ha ha ha ha!! kijana hakuna kitu kipya ulichokuw nacho, yale yametokea ili maandiko ya Mungu yatimie na hata hivyo walifanikiwa kuuwa mwili kwa muda na hadi leo bado Jesus anaishi tofauti na yule aliyetaka asizikwe baada ya kifo chake kwa madai nae angefufuka, matokeo yake kichwa chake kikaliwa na Nguruwe na yeye akabakia kuwa mzoga. Hivi yule mungu wenu ambaye aliingia katika Jehanamu ya moto alifanikiwa kutoka kweli? na aliungua kabisa au alienda tu Jehanamu kufuata moto aende kupikia?. kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!!............. mungu wenu ni kiboko nahisi alikuwa Mama ntilie ndo maana akaamua kufuata moto.
 
mtoa mada kichwa cha habari kinawalakini.

Jamani mimi nauliza udini nini? maana mtaani kwetu iwe shughuli yoyote tunashirikiana hakuna mpagani wala mkristo au mwislam iwe msiba harusi kipaimara sijaona jamii ikiwa imejitenga. hii singo ilianzishwa na Chama Cha Madini(haha wingi wa udini) kutoka kwenye kiwanda chao cha uongo sasa hii inakula kwao ama kweli mchimba kisima kadumbukia mwenyewe. Jamani nauliza udini ni nini? maana inzi alisema ukijua huu mie najua huu
 
mada ya mtoa mada haikuongelea udini -- udini unaleta wewe. Anachosema ni vipi polisi wanahangaika kuzuia mkusanyiko kwa kuweka uzio (kwa maana mkusanyiko siyo halalali, yaani usifanyike) halafu unafanyika halafu hawachukui hatua yoyote kuuzuia.

Hiyo ndiyo hoja ya mtoa mada, msijaribu kupotosha na kuingiza udini. Narudia -- mtoa mada anazungumzia mikusanyiko na amri za polisi, basi. Mengine ni ya kwako.


well said
 
Wafuasi wa Chadema bana sijui kwa nini wanataka kujifananisha na Waislam, Uislam ni dini ndio maana umeona ule uzio pale Kidongo Chekundu umekatwa na kina mama peke yao wanaume walikuwa pembeni, polisi wangejalibu kuwagusa kina mama ndio wangejuta.

Chadema kama nyie mna mungu na mnataka kuwakomboa watanzania kwa nini mnakuwa waoga pambaneni na polisi.

Hii ndio tofauti ya SHULE na ELIMU
 
Polisi walimwogopa sheikh ponda kwasababu alikuja na vijana wake ambao huwa anawafundsha kucheza karate ndani ya msikiti..
Na ndio maana waliwatanguliza wanawake wakakate utepe(ribbon) ili polisi wawavamie ndipo ponda na vijana wake waje kuwaonesha polisi karate inachezwaje?
Source: nimedokezwa na rafiki yangu ni mwalimu wa madrasa(Ustaadh) mitaa ya magomeni na pia mwanafunzi karate wa sheikh ponda
 
hii dhana great thinker inahitaji tafakuri zaidi,kama mtu anashindwa kutofautisha shughuli rasmi ya cdm na shughuli rasmi ya wale waislam.kwamba ingekuwaje pale walioivunja ule uzio wangekuwepo kwenye shughuli nzima ya kisiasa inayohusika moja kwa moja na cdm.sasa mtu anashindwa kugundua tofauti ndogo hii halafy anajitambulisha miongoni mwa wwanoitwa gt.
 
hii thread inaonyesha wazi kuwa chadema ni chama kisichopenda waislam, na kuwaonea wivu, eti chadema wakiandamana wanapigwa virungu, lakini waislam hawapigwi, kwa hiyo waislam wanapendelewa na chadema wanaonewa.

So: Chadema ni against muslim and govnt is pro muslims= chadema ni janga la taifa
mimi sio mtu mwenye dini lakini siwezi kuwaonea wivu waislam.kwani wana nini ndevuuuuuuuuu.
 
Ewe mwenyezi Mungu ulie juu -- endelea kuwaumbua hawa mapolisi kwa dhamira yao mbaya dhidi ya nguvu ya umma. endelea kuonyesha ulimwengu kwamba wanatumika tu kisiasa, na siyo katika kutenda haki.

Amen. Ila Mungu naomba 2015 kila mtu mwasi na muuaji afikishwe mahakamani. Amen
 
Back
Top Bottom