Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.
Pls erase this thread..
Mkulu
Tupo ukurasa mmoja.
Kwa mantiki hiyo hiyo TUACHE mara moja kumjadili mtu yeyote hapa jamvini kwani ni TETESI.
TUFUNGE MIJADALA YOTE kwani tunawachafulia watu majina,hawajaTHIBITIKA kuwa ni Mafisadi.
Uthibitisho ni MAAMUZI YA MAHAKAMA.
Mimi nilifikiri na ninaamini kuwa, watu kama kina Kubenea,Mwanakijiji ,Mengi na Wengine hawa ni WHISTLE BLOWERS.
Unapozungumzia GOOD GOVERNANCE huwezi kuliachanisha hilo Whistle blowing.
Sasa tumefika mahala kama TAIFA tunaanza USHABIKI, maadamu kuna JEDWALI LA RA,basi tuanzishe jedwali la RM.Okay fine,tunatakiwa kutokuwa biased,si katika kila jambo.
Mambo kama haya wakati mwingine unatakiwa kuwa BIASED,either upo na WATU WANYONGE wale wenye shida kabisa or Watu wasio na huruma MAFISADI.
Mkulu Gembe nakuheshimu sana Mkulu wangu kama mmoja wa ma-analysist wazuri wa masuala mbalimbali hapa jamvini.
TUSIFIKE HUKO,TUTANGULIZE MASLAHI YA TAIFA LETU MBELE.