Jeb Bush :Republican's candidate for 2016 US Election

Jeb Bush :Republican's candidate for 2016 US Election

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,233
Kuna tetesi nyingi zimezagaa kuwa huyu jamaa atagombea urais wa Marekan kwa ticket ya chama chake cha Republican.

Job ambaye ni mtoto wa Rais wa zaman wa nchi hyo na pia mdogo wa rais George bush aliemwachia ikulu Obama anatajwa kama mtu mwenye uwezekano mkubwa wa kushinda hasa kama atapitishwa na chama chake.


Ikumbukwe pia kuwa Republicans wana nafasi nzur sana ya kushinda uchaguz huo unaokuja

The big ishu hapa ni namna ambavyo familia hiyo imekuwa ya kivita sana,ni watu wanaopenda sana vita. Na kama jamaa atapita tutegemee msururu wa visa mkasa vitakavyo sababisha vita visivyo na kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom