Jean Claude Van Damme now and then

Jean Claude Van Damme now and then

Duh! vitu kama "wake of Death", "Hard Target", "Assassination Game" Issue of Cavale Valey"; "AWOL'; "Street Fighter"; Double Impact"...si masihara manake ni kama vyatokea katika uhalisia wa ukweli! Akunaga-unapozungumzia Action Movie Actors wa Kimarekani...wengine wa Kichina na Kijapani chai nyingi mno!

Your very precisely, mtu analeta action movies za kichina analinganisha na american actors wapi na wapi! Kidogo SHO KOSUGI alikuwa anajitahidi!
 
farious niliangalia kidogo haikubamba akilini nikaiachaga..james bond ya zaman ilikuwa kidogo inavutia

sasa hivi nafatilia zaid intelligence move.zenye story za upelelez.drug dealer.hacking. ujasus based on true story...

Mi mwenyewe hizi movie nilikuwa napelekwa na kakangu vibanda umiza kucheck i was around 4 yrs, bac nilipokuwa na kujitegemea nikazirudia hakika nikatokea kumkubali sana damme na kitu NOWHERE TO RUN nairudia mara 10x2
 
farious niliangalia kidogo haikubamba akilini nikaiachaga..james bond ya zaman ilikuwa kidogo inavutia

sasa hivi nafatilia zaid intelligence move.zenye story za upelelez.drug dealer.hacking. ujasus based on true story...

zipi ziko hot sasa hivi mkuu...
 
farious niliangalia kidogo haikubamba akilini nikaiachaga..james bond ya zaman ilikuwa kidogo inavutia

sasa hivi nafatilia zaid intelligence move.zenye story za upelelez.drug dealer.hacking. ujasus based on true story...

haha nilijua ndio maana nikaandika vile.. niliishakisia aina ya movies uzipendazo...
but sio mbaya ni mwenyewe huwa naangalia hizo but inategemea na mood miliyonayo siku hiyo..

hiyo pound of flesh nilikuwa sijaiona ila nimedownload saiz ntaicheki kesho.
 
Yeah sasa hivi kawa mnoko mwanzo mwisho ila enzi za KICKBOXER (kuna mtu humo anaitwa tompoo habari nyingine) HARD TARGET, na LIONHERT anapiga mateke kama kalogwa!...ila movie zake zote lazima acheze na demu, nasikia producer ukimpa limovie acheze hujamweka mwanamke lazima achomoe!

hahaha ndo hivo mkuu yule demu wa kwenye lionheart alipigwa mzigo mpaka raha...mtt mwenyewe alivo na sura ya kimahaba yule shida tupu
 
Back
Top Bottom