Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,150
Hiyo inaitwa ONE IN COMMAND. hivi karibni katoa nyingine inaitwa POUND OF FRESHJamani huyu mtu ana muvi ambayo ianahusu jeshi lake na la waarabu baada ya vita jeshi lao linapigwa kisha anabaki yeye tuu mwenye kuijua ani juze