Jean Claude Van Damme now and then

Jean Claude Van Damme now and then

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

11760268_10155887420855046_8525314212410527049_n.jpg




120814-ent-vandamme-hmed.380;380;7;70;0.jpg
 
Smile yake ile ile.kijana na alivoenda age.
 
Ile nundu ya nini ku mkichwa chake
 
Jamani huyu mtu ana muvi ambayo ianahusu jeshi lake na la waarabu baada ya vita jeshi lao linapigwa kisha anabaki yeye tuu mwenye kuijua ani juze
 
duuuuuu..sichokagi kureview vigongo vyake..yy ndie pekee kutokea ktk ulimwengu huu khs acting
 
yeah for sure brother damme drug zmemharibu..kuna wakat alitaka kujiua kwa stress.pia kibut cha demu wake kilimharubu

Yes! Wife wake alimbwaga kutokana na ukubuhu wake kwa mademu na nganda, so ile talaka na mgawanyo wa mali ulimfyatua akili, ila wamerudiana na yuko poa sasa hivi.
 
duuuuuu..sichokagi kureview vigongo vyake..yy ndie pekee kutokea ktk ulimwengu huu khs acting

licha ya kuwa si mdau sana wa movies lakini van damme kazidiwa na wengi kwenye acting action movies,, toa heshima kwa donnie yen, jet li, jason statham, james bond, late ongbak(r.i.p)
 
licha ya kuwa si mdau sana wa movies lakini van damme kazidiwa na wengi kwenye acting action movies,, toa heshima kwa donnie yen, jet li, jason statham, james bond, late ongbak(r.i.p)

Mkuu huyu ongbak sio ndiye huyu wa kwenye furious7 na the protector2 ya mwaka Jana au ni watu wawili tofauti?
 
licha ya kuwa si mdau sana wa movies lakini van damme kazidiwa na wengi kwenye acting action movies,, toa heshima kwa donnie yen, jet li, jason statham, james bond, late ongbak(r.i.p)

Mkuu Damme namba ingine wewe kati ya wote hao hakuna anayeingia kwake, yuko kiuhalisia sana, umemuweka hadi jeti li mzee wa macomputer? Atleast ONGBAK...
 
Mkuu huyu ongbak sio ndiye huyu wa kwenye furious7 na the protector2 ya mwaka Jana au ni watu wawili tofauti?

aaa mkuu ... kijana aliishapass away miaka ya juzijuzi au umemfananisha...
ndio ana movie inaitwa the protector ila ni ya mda sana
 
Back
Top Bottom