Je, Zanzibar wamechangia pesa za maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya Muungano?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Wana jamvi huko bungeni ili tajwa kuwa tangu mwaka 1968 zanzibar haijawahi kuchangia katika kapu la muungano,je katika gharama za maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zanzibar wamechangia?
 
Wana jamvi huko bungeni ili tajwa kuwa tangu mwaka 1968 zanzibar haijawahi kuchangia katika kapu la muungano,je katika gharama za maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zanzibar wamechangia?

Hebu mtuache tupumue jamani tumechoka na hizi ngonjera zenu
 
akina mama wa ccm zanzibar watachangia vigelegele kama asha bakari,wanaume wa ccm watajipeleka kibra na kuiuza zanzibar,mchango murua,ikiwamo posho na usafiri kwenda uwanja wa taifa
 
Hilo ni swala muhimu sana kwani inaonyesha sisi wa Tanganyika tunautaka sana Muungano kuliko hao wa Zanzibar
Na kwa maana hiyo inawezekana wakawa hawajacuangia.
 
Swali limekuja wakati mwafaka, kingine hivi Rais wa zanzibar nae atapigiwa mizinga.
 
tunasubiri pia tuone hadhi ya partner wetu wa muungano,je atapata hadhi zaidi ya makamu wa raisi ya jamhuri ya muungano kama inavyotaka hati ya muungano? au hata mh pinda atampiga bao!
 
muungano ni mzigo mzito yaani watoo wa halaiki kutoka zbar wamekaa huku kwa miez kama 2 hivi we feed them an pay them uuuwwiii taanganyika njoo tanzania usije×20
 
Shen siku ya muungano hawezu pata fursa hiyo ya kupigiwa mizinga. Anakuwa kama Malinzi wa TFF tu
 
muungano ni mzigo mzito yaani watoo wa halaiki kutoka zbar wamekaa huku kwa miez kama 2 hivi we feed them an pay them uuuwwiii taanganyika njoo tanzania usije×20

Ndoa ya awali Tanganyika alikuwa na sauti hata Zenji alikuwa Akitoa Michango lakini Baada ya muungano kuchakachuluwa sasa Tanganyika amegeuzwa Buzi la kuchuna ,tanganyika sasa amekuwa Zoba anapelekeshwa na Zenji kama Upepo wa feni
 
Wana jamvi huko bungeni ili tajwa kuwa tangu mwaka 1968 zanzibar haijawahi kuchangia katika kapu la muungano,je katika gharama za maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zanzibar wamechangia?
Kubali Kuwa sasa ni mwaka wa 47 Zanzibar hawajatoa Karo ya muungano na bado Tanganyika inajikomba kuomba na kuwalipia Zanzibar pasipo kuwadai .
 
Hilo ni swala muhimu sana kwani inaonyesha sisi wa Tanganyika tunautaka sana Muungano kuliko hao wa Zanzibar
Na kwa maana hiyo inawezekana wakawa hawajacuangia.

kwani jibu si mumelipata kwa Warioba? Tanganyika mumelivaa koti la Muungano, munataka na Zanzibar tuchangie livueni mulitundike juu hapo sasa ndo utajua kama Zanzibar inachangia au la

Lakin saiv kila munachopata cha kukopa,cha kugaiwa cha msaada munakiingiza kwenye koti mulolivaa

Zanzibar tuchangie nn?

Tatizo lenuWatanganyika aliesom mpk saiv naona ni lisu tu wengine kila tunavojaribu kuwaelewesha mnakuja na maswali yaleyale

Hebu ipelekeni kwenye shule ile rasimu ya katiba na vizaz vitakavo kuja musiwarisishe utumbo kama huu mnaoleta.
 
Wana jamvi huko bungeni ili tajwa kuwa tangu mwaka 1968 zanzibar haijawahi kuchangia katika kapu la muungano,je katika gharama za maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya muungano zanzibar wamechangia?
Kama aliyoyasema RAZA yanaukweli, Naungana na Wazanzibar kutochangia hata ndururu kwenye maadhimisho haya! Wakati Zanzibar inawekewa vikwazo vya kiuchumi Muungano ulikuwepo? if yes, Kwanini Bara waliinyima Zanzibar MIsaada?...RIP Karume Sr
 
Back
Top Bottom