Unajidanganya ndugu kwa imani na wema mlo nao hata mtoe umeme bure kwa Zanzibar, mnauwana kwa shilingi 100 mtakuwa na moyo wa kutowa bure nyinyi yaguju.
mgenikaribu;
Kama jina lako lilivyo, weye kweli ulimkaribisha mgeni ili mwenyeji uponeee hapo. Hebu tuambiye, Zenj mnatoa shs ngapi kwa kulipia huo umeme? Mbona mwatufanya siye majuha? Hao wajumbe wako ulowatuma humo BMK si ndo wale walokwambieni wakirudi Zenj waja na Taifa kamili lenye mamlaka? Mbona tena wamefika na kugwaya? Miaka 50 bado kero zipo pale pale leo mwataka kuongeza mda gani wa kuinyonya Tanganyika? Mtoto miaka 50 bado hajakua kwa mamake, huyop sio rizki.