Je, ya Aboud Jumbe yamejirudia?

Je, ya Aboud Jumbe yamejirudia?

Taarifa zisizo rasmi na zilizoanza kuzagaa mitaani zinasema huenda Kinana akavuliwa vyeo vyake ndani ya CCM muda sio mrefu kabla yeye mwenyewe hajajivua vyeo hivyo.

Muda utatupa majibu.
 
IMG-20170507-WA0010.jpg
 
Hiyo ndiyo ccm ukileta fyoko fyoko unapigwa stop Hapa kazi tu.!
Mbele kwa mbele.
 
mtu mmoja anaweza akaamua kutunga story km hii na wabongo tunavyopenda kusambaza kesho nitaikuta ofisini mtu anaihadithia mishipa imemtoka kama ana 100% uhakika
 
Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?

Karibuni kwa mjadala
Umepata Habari? Fuata hatua zifuatazo ili kuona kama unapaswa kuwajuza wengine:
1. Je habari ni ya kweli?
Jibu: HAPANA, Usiwajuze watu juu ya habari hiyo acha ifie kwako.
Jibu: NDIO, Jiulize swali jingine, hili lifuatalo.
2. Habari hii ina faida yoyote kwa jamii?
Jibu: HAPANA, Usiwajuze watu juu ya habari hiyo wacha ifie kwako.
Jibu: NDIO, Waweza kuituma.
NB: Tujiepushe na kuhadithia kila tunachokisikia bila kupitia hatua hizo, kwani kwa kawaida kwa siku mtu husikia mengi zaidi kuliko anayoyasikiliza.
 
mtu mmoja anaweza akaamua kutunga story km hii na wabongo tunavyopenda kusambaza kesho nitaikuta ofisini mtu anaihadithia mishipa imemtoka kama ana 100% uhakika
Hujaona jana Lema alivyoiongelea bungeni, siku hizi watu wanadaka vijimaneno maneno vya mitandaoni mihemko juu juu hakuna cha media wala wanasheria wana mihemko balaa
 
Baadhi ya watanzania kwa kuzusha hawajambo!kilichowahi kuniacha hoi bin taaban ni ile ya Jenerali Mwamunyange.
Wengi waliaminishwa upuuzi at the end uongo na ukweli vikajitenga.
Hili nalo litakuwa sio sahihi,is just the matter of time.
Watu wanatunga uongo unaokuja kuwaumbua muda si muda.
Hakuna sababu yoyote ya huyo jamaa kuwekwa kizuizini
Kama Kinana ananyooshwa namna hii sembuse wewe kisebengo.
 
Tatizo MaCCM hamuaminiki mnaweza hata kummaliza Kinana.
Hakuna issue za ccm wala Chadema issue hapo ni Tetesi Kinana ametekwa!!

Tusijengewe dhana hizi kichwani MTU asipoonekana tu basi ametekwa!!

Ni Hatari sana kuna siku atakuja kutekwa kweli mtu na isijulikane kutokana na hiyo tabia kila kitu ni kutekwa
 
Kinana hamuogopi mkulu. Na mkulu anata aogopewe.
 
Kinana ni akili kubwa ile, jasiri na ni vigumu kumthibiti Bila kuivunja CCM
 
Chadema ni wanafki sana kuna kipindi walikuwa wanamponda lowassa na sumaye wakiwatuhumu wezi tena mafisadi papa mungu kwa uwezo wake akawaumbuwa akawaperekea wote bila ya aibu wakawasafisha awakutosheka wakamzungumzia kinana fisadi wa pembe za ndovu leo hii kinana amekaa kimya wanatudanganya tena eti tetesi kinana amezuiwa CHDEMA acheni unafiki mungu anakuoneni .magaufur alishasema ataki siasa wanachama wake kwanza wafanye kazi .
Semeni sana. Muda utawanyoosha kama kawaida.
 
Back
Top Bottom