Je, ya Aboud Jumbe yamejirudia?

Je, ya Aboud Jumbe yamejirudia?

ACHA KUSAMBAZA UMBEA, UTAVISHWA SKETI KISHA USUTWE !!
Huo ni mfumo dume, hivi mwanaume aliyeleta umbeya hawezi kusutwa akiwa amevaa suruali? Au ukiwa umevaa sketi ndo kusutwa kunamwingia sawasawa mtu anayesutwa?
 
Baadhi ya watanzania kwa kuzusha hawajambo!kilichowahi kuniacha hoi bin taaban ni ile ya Jenerali Mwamunyange.
Wengi waliaminishwa upuuzi at the end uongo na ukweli vikajitenga.
Hili nalo litakuwa sio sahihi,is just the matter of time.
Watu wanatunga uongo unaokuja kuwaumbua muda si muda.
Hakuna sababu yoyote ya huyo jamaa kuwekwa kizuizini
Hakika usilolijua ni kama usiku wa kiza.
 
Huyo jamaa kuna watu walidai ni msomali... Halafu si kuna tetesi zilikuwa zinaenea kuwa ni Jsngili ...

Wacha anyooshwe tu sina huruma kwa vitu vya Kijinga
 
Kinana alikuwa anataka bwaga manyanga.... baada ya Nape kumwagiwa Mboga.
 
Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?

Karibuni kwa mjadala

Isijekuwa ni mambo ya elefants
 
Chadema ni wanafki sana kuna kipindi walikuwa wanamponda lowassa na sumaye wakiwatuhumu wezi tena mafisadi papa mungu kwa uwezo wake akawaumbuwa akawaperekea wote bila ya aibu wakawasafisha awakutosheka wakamzungumzia kinana fisadi wa pembe za ndovu leo hii kinana amekaa kimya wanatudanganya tena eti tetesi kinana amezuiwa CHDEMA acheni unafiki mungu anakuoneni .magaufur alishasema ataki siasa wanachama wake kwanza wafanye kazi .
Mbona unauhamisha uzi na kuupeleka kwenye siasa za maji ya mtaro.Mi mwenyewe CCM lakini ninataka kujua kuhusu katibu.
 
huu ni udaku au ni umbea, leteni maada za kufikirisha, sio udakuzi ya mambo ya nyumba ya jirano
 
CCM wana laana.nikikumbuka kinana alivyokuwa anahaingaika vijijini kurudisha imani kwa wanachama.huwezi kuamini kuwa sasa anatendewa haya.
Alikuwa anahangaika kwa sababu yeye na nape ndo waliiua ccm sasa hivi hamna haja ya kuhangaika kwa sababu anayofanya jpm na kutenda yanajieleza yenyewe hivyo nguvu haitakuwa kubwa mana watanzania wamesharudisha imani ile iliyopotea.
 
Niliona mahali jana,eti leo kinana angeonana na jumuiya ya wana vyou vikuu wa ccm yumbani kwake.sijui kama kweli kazungumza nao.
Uko sahihi walisema ataongea na jumuiya ya vyuo vikuu nyumbani kwake na waandishi wa habari wanakaribishwa. Kweli suala hili lilivyo media wangepuuza kwenda!
 
Tetesi peleka huko kwa wambeya wenzio. Acha mzee wa watu apumzike likizoni.
 
Back
Top Bottom